-
Rogozin: Russia ipo tayari kukabiliana na vikwazo
Feb 26, 2018 13:57Naibu Waziri Mkuu wa Russia amesema kuwa Moscow ipo tayari kukabiliana na vikwazo vya Magharibi.
-
Russia yazionya nchi za Magharibi zisijaribu kuingilia uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Feb 16, 2018 07:38Serikali ya Russia imeyaonya madola ya Magharibi kutoingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika uchaguzi wa rais.
-
Ukiukwaji wa haki za binadamu Bahrain na kimya cha UN na madola ya Magharibi
Feb 03, 2018 08:06Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kutekeleza sera za ukandamizaji dhidi ya wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwanyonga, kuwatesa, kuwapokonya uraia na kuwalazimui kuihama nchi. Hayo yote yanafanyika huku kukiwa na kimya kikubwa cha madola ya Magharibi yanayodai kutetea haki za binadamu na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Homa ya mitindo na fasheni katika ulimwengu wa sasa
Jan 20, 2018 10:58Bila shaka wewe pia msomaji mpendwa, umeshawahi kukutana na watu wanaopendelea kuvaa mavazi ya aina makhsusi, au wanaotengeneza nywele zao kwa mtindo fulani wa aina yake, au wanaofanya harakati makhsusi katika mienendo na tabia zao.
-
Zarif: Magaidi wazawa wa Magharibi ndio wanaowaua watoto Syria, Iraq
Dec 03, 2017 14:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Magharibi zitoe ufafanuzi kuhusu ni kwa nini wimbi la watoto wanaozaliwa, kulelewa na kupata elimu katika nchi hizo ndio wanaoongoza katika mauaji yanayofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) dhidi ya watoto wa Syria na Iraq.
-
Raila: Mabalozi wa nchi za Magharibi ni wasaliti, wachukuliwe hatua
Nov 10, 2017 08:20Raila Odinga Kiongozi wa Muungano wa upinzani Kenya (Nasa) jana aliwataka viongozi wa nchi za Magharibi hususan Marekani na Uingereza kuwachukulia hatua mabalozi wanaoziwakilisha nchi hizo huko Kenya kwa kuhujumu demokrasia.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-12
Oct 31, 2017 13:32Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 12 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-11
Oct 31, 2017 13:14Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 11 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Iran: Historia haitasahau jinai zinazofanywa na Saudia huko Yemen
Sep 24, 2017 03:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa historia ya dunia haitasahau jinai na uhalifu mkubwa unaofanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-5
Sep 02, 2017 15:50Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.