-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-2
Sep 02, 2017 10:43Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya pili ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-1
Sep 02, 2017 10:20Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.
-
Ayatullah Larijani: Wamagharibi hawana nia ya kuutokomeza ugaidi
Aug 21, 2017 22:11Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Magharibi hauna azma ya dhati ya kuutokomeza ugaidi.
-
Mufti wa zamani Misri atahadharisha kuhusu mfumo wa elimu unaopiga vita Uislamu Magharibi
Aug 01, 2017 01:28Mufti wa zamani wa Misri ametahadharisha kuhusu athari mbaya za mfumo wa elimu unaopiga vita Uislamu katika nchi za Magharibi.
-
Assad: Wamagharibi wanawapa himaya magaidi na sio raia
Dec 15, 2016 00:52Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema serikali za nchi za Magharibi zinawapa himaya na kuwakingia kifua magaidi wanaofanya jinai nchini humo na wala hazijali hali ya raia wa kawaida wa nchi hiyo.
-
Tahadhari ya Putin kwa Magharibi kuhusu kutumia ugaidi kama wenzo wa kutimizia malengo yake
Nov 28, 2016 23:30Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa sera za nchi za Magharibi za kuyatumia makundi ya kigaidi kama wenzo wa kufikia malengo yao na kusisitiza kuwa mchezo huo mchafu umesababisha matatizo mengi.
-
Kenya yatahadharisha madola ya kigeni kuhusu kufadhili vyama vya upinzani
Oct 23, 2016 11:25Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya Justin Muturi ametahadharisha kuhusu mpango wa baadhi ya madola ya kigeni kufadhili kampeni za vyama vya upinzani kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2017.
-
Ayatullah Khatami: Uungaji mkono wa Magharibi kwa mashambulizi ya Saudia Yemen unashadidisha mauaji ya raia
Oct 14, 2016 09:51Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Saudi Aarbia huko Yemen, ndiyo sababu ya kusthadi mgogoro na kuuliwa raia wa Yemen wasio na hatia.
-
Iran yaikosoa Magharibi kwa uingiliaji wa masuala ya ndani ya nchi
Aug 06, 2016 03:25Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa hatua ya nchi za Magharibi ya kuipaka matope Jamhuri ya Kiislamu kwa hatua yake ya kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya magaidi hapa nchini.
-
Rais wa Syria akosoa misimamo ya kindumakuwili ya Magharibi
Jun 30, 2016 08:34Rais wa Syria amezikosoa nchi za Magharibi kwa kutekeleza siasa za kindumakuwili kuhusu nchi yake.