Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu

  • Muda wa kampeni za uchaguzi wamalizika leo, mbio za kuwania viti vya Bunge la Iran kutimka kesho Ijumaa

    Muda wa kampeni za uchaguzi wamalizika leo, mbio za kuwania viti vya Bunge la Iran kutimka kesho Ijumaa

    Feb 20, 2020 06:31

    Muhula wa kufanya kampeni za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umemalizika mapema leo asubuhi saa mbili kwa majira ya Iran.

  • Bunge la Iran: Hatua ya nchi za Ulaya kuhusu JCPOA ni alama ya udhalili na kudunishwa na Marekani

    Bunge la Iran: Hatua ya nchi za Ulaya kuhusu JCPOA ni alama ya udhalili na kudunishwa na Marekani

    Jan 19, 2020 12:43

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wamesema kuwa hatua ya nchi za Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ya kuanzisha mchakato wa kutatua hitilafu ndani ya JCPOA unaofahamika kwa jina la 'Trigger Mechanism' kwa kisingizio kuwa Iran haitekelezi majukumu yake kwenye mapatano hayo ni ishara ya kudhalilishwa nchi hiyo mbele ya Marekani.

  • Kamisheni ya Bunge: Marekani itarajie kisasi kikali kwa hatua yake ya kumuua  Qassim Soleimani

    Kamisheni ya Bunge: Marekani itarajie kisasi kikali kwa hatua yake ya kumuua Qassim Soleimani

    Jan 04, 2020 13:14

    Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni katika Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa, Marekani mtenda jinai isubirie kisasi kikali dhidi yake kutokana na hatua yake ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH).

  • Kuanza uandikishaji wa wagombea uchaguzi wa Bunge la 11 la Iran

    Kuanza uandikishaji wa wagombea uchaguzi wa Bunge la 11 la Iran

    Dec 02, 2019 11:32

    Uandikishaji watu wanaotaka kugombea ubunge katika uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, yaani Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ulianza rasmi jana Jumapili na utaendelea hadi tarehe 7 ya mwezi huu wa Desemba.

  • Bunge la Iran larindima nara na kaulimbiu za

    Bunge la Iran larindima nara na kaulimbiu za "Mauti kwa Marekani" na "Mauti kwa Israel"

    Nov 04, 2019 08:04

    Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari Duniani yanayofanyika kote nchini hii leo, wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wametoa nara za "Mauti kwa Marekani" na "Mauti kwa Israel" katika ufunguzi wa kikao cha leo cha bunge.

  • Bunge la Iran lalaani mashambulizi ya Uturuki dhidi ya Syria

    Bunge la Iran lalaani mashambulizi ya Uturuki dhidi ya Syria

    Oct 14, 2019 12:08

    Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa taarifa wakilaani mashambulizi ya jeshi la Uturuki dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kutetea watu wanaodhulumiwa kote duniani.

  • Rais Rouhani: Iran haina ajenda ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Rais Rouhani: Iran haina ajenda ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Sep 03, 2019 07:55

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haijawahi kuwa na ajenda ya kufanya mazungumzo ya pande mbili na Marekani.

  • Zarif: Marekani inahofia kushindwa katika uga wa diplomasia

    Zarif: Marekani inahofia kushindwa katika uga wa diplomasia

    Aug 11, 2019 04:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Marekani ina wasiwasi na kuhofia kushindwa katika uga wa diplomasia.

  • Bunge la Iran launga mkono hatua ya Sepah ya kutungua drone ya Marekani

    Bunge la Iran launga mkono hatua ya Sepah ya kutungua drone ya Marekani

    Jun 23, 2019 13:28

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) wamelipongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) kwa kutungua ndege isyo na rubani ya Marekani iliyokuwa imeingia kinyume cha sheria katika anga ya Iran.

  • Ripoti ya Bunge la Iran kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Marekani

    Ripoti ya Bunge la Iran kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Marekani

    Jun 10, 2019 11:22

    Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, imechapisha ripoti ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS