-
Bunge la Iran laafiki mpango wa kuimarisha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ili likabiliane na Marekani
Apr 10, 2019 02:24Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, limepitisha muswada wa kuimarisha hadhi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kukabiliana na Marekani.
-
Spika wa Bunge la Iran alaani matamshi ya Trump kuhusu eneo la Golan linalokaliwa kwa mabavu
Mar 25, 2019 01:48Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amelaani matamshi ya kichochezi ya rais wa Marekani kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel una mamlaka ya kulimiliki eneo la Golan la Syria unalolikalia kwa mabavu.
-
Bunge la Iran lalaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti New Zealand
Mar 17, 2019 17:13Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wametoa taarifa wakilaani mashambulizi ya kigaidi yaliyolenga misikiti nchini New Zealand na kuua shahidi makumi ya Waislamu waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Rais Rouhani: Uwajibikaji ni nukta ya nguvu ya wakuu wa mfumo wa Kiislamu wa Iran
Aug 28, 2018 13:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwajibikaji ni nukta ya nguvu ya wakuu wa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Larijani: Taifa la Iran halikubali kupiga mnada heshima yake
Jul 22, 2018 07:28Ali Larijani Spika wa Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesema Wairani ni taifa lenye subira na lenye kupenda kuwa na uhusiano na wengine lakini hawapigi mnada heshima yao.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha
Jun 20, 2018 16:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ambayo imebalehe na kukomaa inapaswa kutenda kwa kujitegemea katika kutunga sheria za masuala kama kupambana na ugaidi na mapambano dhidi ya utakatishaji wa fedha chafu.
-
Jumatatu, Mei 28, 2018
May 28, 2018 04:13Leo ni Jumatatu mwezi 12 Ramadhani 1439 Hijria inayosadifiana na tarehe 28 Mei 2018 Milaadia.
-
Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa
May 25, 2018 07:04Spika wa Majilisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hayana mantiki na yanaonesha kuwa waziri huyo hana ukomavu wa kisiasa.
-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya JCPOA
May 09, 2018 13:52Wabunge katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, wameitaka serikali ya Iran itekeleza Kipengee cha 3 cha Sheria ya Hatua Mkabala Kuhusuaiana na Utekelezwaji Mapatano ya Nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
Uchaguzi wa Bunge Lebanon ulikuwa ni 'La' kwa Marekani na utawala wa Kizayuni
May 08, 2018 07:44Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa mrengo wa Muqawama katika Uchaguzi wa Bunge nchini Lebnaon jana na kusema, 'uchaugzi huu ulikuwa ni 'La' ya watu wa Lebanon kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni.'