Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu

  • Alkhamisi tarehe 15 Machi, 2018

    Alkhamisi tarehe 15 Machi, 2018

    Mar 15, 2018 03:24

    Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Jamadithani 1439 Hijria sawa na tarehe 15 Machi 2018.

  • Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina

    Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina

    Dec 24, 2017 16:42

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran leo wamepitisha mpango wa dharura wa kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya watu wa Palestina na kusisitiza kwamba Baitul Muqaddas utakuwa mji mkuu wa kudumu wa nchi ya Palestina.

  • Mabunge ya nchi za Kiislamu yatakiwa kuingilia kadhia ya Palestina

    Mabunge ya nchi za Kiislamu yatakiwa kuingilia kadhia ya Palestina

    Dec 21, 2017 02:42

    Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameyataka mabunge ya nchi za Kiislamu kuingia kadhia ya Quds na Palestina ili kukabiliana na njama za Marekani za kutaka kuwapora Waislamu Kibla chao cha Kwanza.

  • Mwakilishi wa Mayahudi katika bunge la Iran: Hatua ya Trump ya kuitambua Quds mji mkuu wa Israel ni ubaguzi wa kimbari

    Mwakilishi wa Mayahudi katika bunge la Iran: Hatua ya Trump ya kuitambua Quds mji mkuu wa Israel ni ubaguzi wa kimbari

    Dec 14, 2017 15:59

    Mwakilishi wa jamii ya wachache ya Mayahudi katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya rais wa Marekani ya kuitangaza Baitul Muqaddas mji mkuu wa utawala wa Kizayuni ni ubaguzi wa kimbari.

  • Bunge la Iran: Quds ni kibla cha kwanza cha Waislamu na ni ya Umma wote wa Kiislamu

    Bunge la Iran: Quds ni kibla cha kwanza cha Waislamu na ni ya Umma wote wa Kiislamu

    Dec 12, 2017 16:26

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, wamesema uamuzi wa Rais wa Marekani kutambua Quds Tukufu (Jerusalem) kama mji mkuu wa utawala bandia wa Israel ni dalili ya wazi kabisa ya kutokuwa na utambulisho utawala huo wa Kizayuni.

  • Larijani: Vitendo vya chuki vya Wamarekani ni dukuduku la mabunge yote

    Larijani: Vitendo vya chuki vya Wamarekani ni dukuduku la mabunge yote

    Oct 19, 2017 16:17

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezungumzia mazungumzo yake ya hivi karibuni na maspika wa mabunge ya nchi zilizoshiriki katika mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani mjini Saint Petersburg, Russia na kusema kuwa, maspika wa mabunge yote yaliyoshiriki kwenye mkutano huo wana wasiwasi na dukuduku na vitendo vya kiuadui vya Wamarekani.

  • Bunge laidhinisha uteuzi wa mawaziri 16 waliopendekezwa na Rais Rouhani

    Bunge laidhinisha uteuzi wa mawaziri 16 waliopendekezwa na Rais Rouhani

    Aug 20, 2017 16:47

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wamewapigia kura ya kuwa na imani nao mawaziri 16 kati ya 17 waliopendekezwa na Rais Hassan Rouhani kuunda baraza la mawaziri la serikali yake mpya, baada ya vikao vya siku nane vya kuchunguza sifa za mawaziri hao.

  • Bunge lapitisha hoja ya mpango wa kukabiliana na harakati za kigaidi za US Mashariki ya Kati

    Bunge lapitisha hoja ya mpango wa kukabiliana na harakati za kigaidi za US Mashariki ya Kati

    Aug 13, 2017 08:11

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) wameunga mkono na kupitisha hoja ya mpango wa kukabiliana na harakati za chokochoko na za kigaidi za Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Kamisheni ya Bunge la Iran yapasisha mambo jumla ya kukabiliana na chokochoko za Marekani

    Kamisheni ya Bunge la Iran yapasisha mambo jumla ya kukabiliana na chokochoko za Marekani

    Jul 29, 2017 13:29

    Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni katika Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepasisha katika kikao chache cha dharura hii leo, mambo jumla ya kukabiliana na hatua za kiuhasama na kiuadui za Marekani dhidi ya taifa hili.

  • Jumapili Mei 28, 2017.

    Jumapili Mei 28, 2017.

    May 29, 2017 13:20

    Leo ni Jumapili tarehe Pili Ramadhan 1438 Hijria, mwafaka na tarehe 28 Mei 2017 Miladia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS