-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia
Dec 17, 2019 08:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Vikwazo vya US dhidi ya Iran ni haramu
Dec 15, 2019 07:49Waziri Mkuu wa Malaysia amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni batili na vya kidhalimu, na ambavyo vinakiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.
-
Wataalamu: Malaria inaweza kutokomezwa kabisa duniani hadi kufikia mwaka 2050
Sep 09, 2019 15:14Wataalamu wa masuala ya afya wa kimataifa wamesema kuwa ugonjwa wa malaria unaweza kutokomezwa kabisa duniani hadi kufikia mwaka 2050.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran akutana na Waziri Mkuu wa Malaysia
Aug 30, 2019 03:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Alkhamisi alikutana na kufanya mazungumzo mjini Kuala Lumpur na Mahathir Muhammad Waziri Mkuu wa Malaysia.
-
Jumatatu tarehe 10 Juni mwaka 2019
Jun 10, 2019 02:30Leo ni Jumatatu tarehe 6 Shawwal 1440 Hijria sawa na Juni 10 mwaka 2019.
-
Malaysia: Mashinikizo hayatatulazimisha kujiunga na ICC
Apr 06, 2019 07:47Waziri Mkuu wa Malaysia amesema mashinikizo hayataifanya nchi hiyo ijiunge na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Safari ya Mohammad Bin Salman nchini Malaysia na Indonesia yaahirishwa ghafla
Feb 17, 2019 05:04Safari ya Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia nchini Malaysia na Indonesia imearishwa ghfla bila kutolewa sababu.
-
Hamas yasifu msimamo wa Malaysia wa kupinga kuhuisha uhusiano na adui Mzayuni
Jan 17, 2019 08:02Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amepongeza msimamo wa Malaysia wa kupinga njia zote za kuhuisha uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Israel unaoikalia Quds kwa mabavu.
-
Malaysia haitawaruhusu wanariadha wa Israel kuingia nchini humo
Jan 11, 2019 16:03Malaysia imesema haitawaruhusu wanariadha wa utawala wa Kizayuni wa Israel kukanyaga ardhi ya nchi hiyo, ikiwa ni katika mwendelezo wa serikali ya Kuala Lumpur wa kupambana na utawala huo batili.
-
Asean yakosoa mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar
Nov 17, 2018 05:55Nchi zinazoshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN) zimeikosoa vikali serikali ya Myanmar kutokana na mauaji yanayofanyika nchini humo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.