-
Mkuu wa Harakati ya Kimataifa ya Uadilifu Malaysia: Umepatikana mwamko wa ulimwengu mzima dhidi ya utawala wa Aal-Saud
Oct 27, 2018 12:56Mkuu wa Harakati ya Kimataifa ya Uadilifu nchini Malaysia amesema umepatikana mwamko wa dunia nzima dhidi ya utawala wa Aal-Saud kutokana na jinai ya kuuawa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala huo.
-
Dkt Mahathir: Malaysia haitaruhusu ufuska wa ndoa za jinsia moja
Oct 25, 2018 13:46Waziri Mkuu wa Malaysia, Mahathir Mohamad amesema taifa lake halitakubali mashinikizo ya kuruhusu na kuheshimu eti haki za mashoga, wasagaji na watu waliobadilisha jinsia zao pamoja na ndoa za watu wa jinsia moja.
-
Ijumaa, Agosti 31, 2018
Aug 31, 2018 02:59Leo ni Ijumaa tarehe 19 Mfunguo Tatu Dhulhija 1439 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Agosti 2018 Milaadia.
-
Malaysia yasitisha kikamilifu ushirikiano na Saudia katika vita dhidi ya Yemen
Aug 16, 2018 02:33Waziri Mkuu wa Malaysia amesema kuwa nchi yake imesitisha uhusiano wa aina zote na Saudi Arabia katika vita vya nchi hiyo dhidi ya taifa la Yemen.
-
Kusimamishwa kibali cha shughuli za kituo cha Amani cha Mfalme Salman bin Abdulaziz nchini Malaysia
Aug 08, 2018 07:12Wizara ya Ulinzi ya Malaysia imetangaza azma ya serikali ya nchi hiyo ya kufunga mradi unaoitwa 'Kituo cha Amani cha Mfalme Salman bin Abdulaziz' wa Saudi Arabia.
-
Serikali ya Malaysia kufunga mradi wa Kituo cha Amani cha Mfalme Salman wa Saudia
Aug 07, 2018 07:40Wizara ya Ulinzi ya Malaysia imetangaza azma ya serikali ya nchi hiyo ya kufunga mradi unaoitwa 'Kituo cha Amani cha Mfalme Salman bin Abdulaziz' Mfalme wa Saudi Arabia.
-
Malaysia yaitaka dunia kupambana na utawala wa Kizayuni
Jul 24, 2018 07:56Serikali ya Malaysia imeitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na sheria iliyopasishwa na utawala haramu wa Kizayuni juu ya kuundwa nchi ya Kiyuhudi katika ardhi za Palestina.
-
Waziri mkuu wa zamani Malaysia atiwa mbaroni kwa kuhusika na wizi wa mali ya umma
Jul 03, 2018 15:39Vyombo vya usalama vya Malaysia vimemtia nguvuni waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Najib Razak kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya upotevu wa mabilioni ya dola kutoka kwenye mfumo wa taifa aliouasisi yeye mwenyewe muongo mmoja uliopita.
-
Malaysia yasimamisha ushirikiano wa kijeshi na Saudi Arabia
Jun 29, 2018 14:40Waziri wa Ulinzi wa Malaysia ametangaza kuwa, nchi hiyo imesimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudi Arabia.
-
Malaysia yasimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudia katika vita dhidi ya Yemen
Jun 28, 2018 13:22Waziri wa Ulinzi wa Malaysia amesema kuwa, nchi yake imesimamisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.