-
Raia na asasi tofauti Malaysia zaitaka serikali kuwafuatilia waliomuua msomi wa Kipalestina
Apr 24, 2018 07:31Raia, asasi mbalimbali na makundi ya kiraia nchini Malaysia yameitaka serikali ya nchi hiyo kuwafuatilia watu waliohusika na mauaji dhidi ya Fadi al Batsh, msomi mkubwa wa Kipalestina na muhadhiri katika chuo kikuu cha Kuala Lumpur, aliyeuawa siku chache zilizopita.
-
MOSSAD, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kigaidi ya msomi wa Kipalestina nchini Malaysia
Apr 23, 2018 01:23Khaled Al-Batsh, mmoja wa viongozi wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina, amesema Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD ndilo lililohusika na mauaji ya kigaidi ya msomi mtajika wa Kipalestina Fadi Muhammad Al-Batsh nchini Malaysia.
-
Radiamali ya Hamas kufuatia kuuliwa Fadi al Batsh nchini Malaysia
Apr 22, 2018 13:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutuhumu utawala wa Kizayuni kuwa umehusika kumuua Fadi al Batsh mwanachama wa harakati hiyo na kutahadharisha kuwa italipiza kisasi damu ya raia huyo wa Palestina.
-
Mahakama ya kimataifa Malaysi yatoa hukumu dhidi ya viongozi wauaji wa Myanmar
Sep 23, 2017 15:43Mahakama ya Kimataifa ya Kudumu ya Watu wa Malaysia imetoa hukumu dhidi ya serikali ya Myanmar kutokana na kutenda jinai za mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Makumi ya wanafunzi wa Darul Qur'an wafariki dunia katika ajali ya moto Malaysia
Sep 14, 2017 14:40Wanafunnzi 24 wa madrasa ya Kiislamu ya kuhifadhi Qur'ani tukufu wamefariki dunia kutokana na moto uliotokea kwenye bweni za shule yao mapema leo nchini Malaysia.
-
Alkhamisi, 31 Agosti 2017
Aug 31, 2017 02:50Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Tatu Dhulhija 1438 Hijria sawa na tarehe 31 Agosti 2017.
-
Chama cha Kiislamu Malaysia: Ni ajabu sana kwa nchi yetu kushirikiana na Saudia inayoeneza ugaidi
Jul 18, 2017 03:52Mkuu wa chama cha Utegemezi wa Kitaifa nchini Malaysia ambacho ni chama cha Kiislamu nchini humo, (Pan-Malaysian Islamic Party) amesema kuwa ushirikiano wa serikali ya Kuala Lumpur na Saudi Arabia katika kupambana na ugaidi ni wa kichekesho na kushangaza.
-
Jumamosi, Juni 10, 2017
Jun 10, 2017 03:58Leo ni Jumamosi tarehe 15 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1438 Hijria sawa na tarehe 10 Juni mwaka 2017 Miladia.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 28, 2017 11:15Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya sita ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Wanachama wa Daesh wahukumiwa kifungo cha miaka 35 Malaysia
Mar 31, 2017 06:40Wanachama wawili wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ambao pia walihusika katika shambulizi dhidi ya klabu ya usiku nchini Malaysia, wamehukumiwa kifungo cha miaka 35 na mahakama kuu ya nchi hiyo.