-
Kamanda wa Jeshi al Majini la Iran: Nchi nyingi zinataka kutumia mbinu za Iran kupambana na uharamia, ugaidi
Mar 25, 2017 02:51Kanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi nyingi zinataka kujua mbinu zinazotumiwa na kikosi cha jeshi hilo kwa ajili ya kuimarisha usalama baharini na kupambana na ugaidi.
-
Malaysia yawatia mbaroni watuhumiwa wa njama ya kumuua Mfalme Salman wa Saudia
Mar 07, 2017 15:37Serikali ya Malyasia imedai kuwa, ilizima njama ya jaribio la kutaka kumuua Mfalme Salman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia aliyeko katika safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za mashariki mwa Asia.
-
Myanmar yakaidi mwito wa OIC wa kukomesha jinai dhidi ya Waislamu
Jan 22, 2017 08:12Serikali ya Myanmar imepuuza mwito uliotolewa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) mjini Kuala Lumpur, nchini Malaysia hivi karibuni, wa kutaka ikomeshe mauaji, ukandamizaji na jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa Rohingya. Wizara ya Mambo ya Nje ya Myanmar jana Jumamosi ilitoa taarifa ya kuikashifu vikali serikali ya Malaysia kwa kuwa mwenyeji wa kikao cha dharura cha OIC cha kujadili hali ya Waislamu wa Myanmar.
-
Malaysia: Serikali ya Myanmar ikomeshe jinai dhidi ya Waislamu
Jan 19, 2017 13:59Waziri Mkuu wa Mayalsia, Najib Razak sambamba na kuituhumu serikali ya Myanmar kwa kuhusika na ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu, amebainisha wasi wasi wake mkubwa juu ya mgogoro wa kibinaadamu unaowakabili Waislamu wa mkoa wa Rakhine wa nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.
-
Malaysia: Makumi ya raia waliojiunga na ISIS wameuawa na magaidi wenzao
Nov 25, 2016 04:57Khalid Abubakar, Kamanda wa Upelelezi wa jeshi la Polisi nchini Malaysia amesema kuwa, zaidi ya raia 50 wa nchi hiyo waliokuwa wamejiunga na kundi la ukufurishaji la Daesh wameuawa na wanachama wa genge hilo.
-
Safari ya Rais Rouhani Kuala Lumpur; upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Malaysia
Oct 07, 2016 15:59Rais Hassan Rouhani leo asubuhi aliwasili Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia akiendelea na safari yake ya kuzitembelea nchi za eneo la kusini mashariki mwa Asia.
-
Malaysia yataka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Sep 25, 2016 04:15Ahmad Zahid Hamidi Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia ametaka kutekelezwa mpango kamili na jumuishi wa kuyapatia ufumbuzi matatizo yanayowakabili Waislamu wa Rohingya; ambao wamelazimika kuhama Myanmar na kuwa wakimbizi kutokana na mashinikizo ya Mabudha wenye misimamo mikali wa nchi hiyo.
-
Mabaki ya Ndege yaliyopatikana Pemba, Tanzania kuchunguzwa iwapo ni ya ndege ya Malaysia
Jun 24, 2016 08:06Uchunguzi umeanzishwa kubaini iwapo kipande cha mabaki ya ndege kilichopatikana kisiwani Pemba nchini Tanzania ni kile cha ndege ya Malaysia aina ya Boeing 777 , Nambari MH370 iliyotoweka Machi 2014 au la.