-
Maadili ya Hussein bin Ali (as)
Jul 16, 2024 16:54Tumo katika siku za mwezi wa Muharram ambao unakumbusha msiba adhimu na mkubwa kwa Umma wa Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS
Aug 07, 2022 03:01Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Husain AS.
-
Jeshi la Nigeria laua Waislamu wakimuomboleza Imam Hussein AS
Aug 23, 2020 07:59Wanajeshi wa Nigeria wamewashambulia Waislamu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya maombolezo ya Muharram ya Imam Hussein AS, katika jimbo la Kaduna.
-
Iran ya Kiislamu yaghariki katika maombolezo ya Siku ya Ashura
Sep 10, 2019 12:51Mamilioni ya wananchi wa Iran, leo Jumanne wameadhimisha kwa shauku na hamasa kubwa siku ya maombolezo makubwa ya Ashura, kukumbuka siku aliyouawa shahidi kidhulma Bwana wa Mashahidi, mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Husain AS katika jangwa la Karbla (la Iraq ya leo).