Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mapinduzi ya Kiislamu

  • Ayatullah Khatami: Lengo la mabeberu ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Ayatullah Khatami: Lengo la mabeberu ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Jul 09, 2018 14:07

    Msemaji wa Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la tawala za kibeberu duniani ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu

    Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu

    Jun 04, 2018 08:22

    Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.

  • Uchambuzi wa mienendo ya Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu:

    Uchambuzi wa mienendo ya Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: "Wewe Trump! Unayoyafanya ni upumbavu mtupu."

    May 10, 2018 08:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, jana Jumatano tarehe 9 Mei alitembelea Chuo Kikuu cha Walimu kwa mnasaba wa Wiki ya Mwalimu.

  • Kiongozi: Msiziamini nchi 3 za Ulaya katika mapatano ya JCPOA

    Kiongozi: Msiziamini nchi 3 za Ulaya katika mapatano ya JCPOA

    May 09, 2018 14:04

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria baadhi ya matamshi kuhusu Iran kuendelea kuwepo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na nchi tatu za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuhusu kufanya mazungumzo na nchi tatu za Ulaya, haipaswi kuziamiani na katika kila mapatano lazima kuwepo dhamana ya kweli na ya kivitendo la sivyo haiwezekani kuendelea kwa hali iliyopo."

  • "Ghuba ya Uajemi" (Persian Gulf); Jina Litakalobaki Milele Katika Kurasa za Historia

    May 01, 2018 08:35

    Ni matumaini yangu kuwa hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Jumatatu ya tarehe 30 Aprili ilisadifiana na siku ya mwisho ya kuondoka Wareno baada ya kutimuliwa kwenye eneo la maji ya kusini mwa Iran. Kwa mnasaba wa tukio hilo, siku hii inajulikana katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama "Siku ya Taifa ya Ghuba ya Uajemi". Baada ya utangulizi huo mfupi nakuomba sasa ujiweke tayari kusikiliza yale niliyokuandalia kwa mnasaba wa siku hiyo.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui

    May 01, 2018 07:16

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Ulimwenguni kwamba kuna udharura wa kusimama kidete kukabiliana na njama za maadui.

  • Kiongozi: Mguu wa Marekani utakatwa katika eneo

    Kiongozi: Mguu wa Marekani utakatwa katika eneo

    Apr 30, 2018 12:57

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, "yule ambaye anapaswa kuondoka eneo la Asia Magharibi ni Mmarekani na wala sio Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kama nilivyosema miaka kadhaa iliyopita, zama za utumiaji mabavu zimefika ukingoni."

  • Alkhamisi tarehe Mosi Machi 2018

    Alkhamisi tarehe Mosi Machi 2018

    Mar 01, 2018 04:33

    Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Jamadithani 1439 Hijria sawa na tarehe Mosi Machi 2018.

  • Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Feb 13, 2018 16:48

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mapinduzi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu."

  • Bahman 22 ya Mapinduzi ya Kiislamu;

    Bahman 22 ya Mapinduzi ya Kiislamu; "Kujitawala, Kuwa Huru, Jamhuri ya Kiislamu"

    Feb 11, 2018 15:42

    Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameingia katika mwaka wake wa 40 wa umri wake wenye baraka tangu yalipopata ushindi siku kama ya leo miaka 39 iliyopita. Ni mapinduzi ambayo, kwa kusimama kwake kidete na imara kukabiliana na ubeberu wa madola makubwa, yameonyesha kuwa yanataka Iran iwe na uhuru wa kweli wa kujitawala; kujitawala ambako kumepatikana kwa kutegemea irada ya wananchi walioungana na kuwa kitu kimoja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS