-
Ayatullah Khatami: Mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu unazidi kung'aa
Oct 21, 2022 12:52Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hii leo umeng'ara zaidi kuliko wakati wowote ule.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (nafasi ya vijana katika ushindi na kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu)
Oct 15, 2022 11:57Matukio na machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamewapa maadui wa Iran fursa ya kuzidisha hujuma za kipropaganda na kisiasa na kutoa tathmini za kupotosha na kupindua hakika na ukweli wa mambo.
-
Ushujaa wa vijana wa Palestina, Yemen ni matunda ya Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 08, 2022 03:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani jinai zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza, amesema ushujaa wa vijana wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini
Aug 03, 2022 12:32Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
-
Fikra za Imam Khomeini (MA); ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuanza mwamko wa Kiislamu
Jun 04, 2022 09:05Fikra za Imam Khomeini MA za kupambana na ubeberu, mbali na kupelekea kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, zimepelekea pia kupatikana mwamko wa Kiislamu katika eneo hili zima na duniani kwa ujumla.
-
Khatibzadeh: Mapinduzi ya Kiislamu yameutambulisha kwa ulimwengu utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi
May 19, 2022 12:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu amesema, Mapinduzi ya Kiislamu yameutambulisha duniani utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi.
-
Mapinduzi ya Kiislamu na Uhuishaji Kigezo cha Kufuatwa na Mwanamke Muislamu
Feb 16, 2022 03:59Katika kipindi cha miaka 43 tokea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa, zimefanyika juhudi athirifu za kuhuisha heshima ya wanawake.
-
Utamaduni wa Qur'ani katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 13, 2022 05:28Qur'ani Tukufu ndio chanzo muhimu zaidi cha elimu na maarifa ya Uislamu, ambacho, pamoja na vyanzo vingine vya elimu ya dini, mbali na kutumiwa katika maisha ya mtu binafsi na ya kiibada, vilevile huainisha mfumo wa jamii katika masuala ya kisiasa na kijamii.
-
Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2022 06:55Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya "Si Mashariki si Magharibi"
Feb 11, 2022 10:39Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.