Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mapinduzi ya Kiislamu

  • Utamaduni wa Qur'ani katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Utamaduni wa Qur'ani katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Feb 13, 2022 05:28

    Qur'ani Tukufu ndio chanzo muhimu zaidi cha elimu na maarifa ya Uislamu, ambacho, pamoja na vyanzo vingine vya elimu ya dini, mbali na kutumiwa katika maisha ya mtu binafsi na ya kiibada, vilevile huainisha mfumo wa jamii katika masuala ya kisiasa na kijamii. 

  • Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 12, 2022 06:55

    Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya

    Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya "Si Mashariki si Magharibi"

    Feb 11, 2022 10:39

    Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.

  • "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni jinamizi la mabeberu na kimbilio la wanyonge"

    Feb 11, 2022 10:39

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu yameleta matumaini kwa wanyonge na wapigania ukombozi wa mataifa yao kama ambavyo yametia nguvu masuala ya kiroho na kimaanawi ulimwenguni.

  • Rais: Taifa la Iran limesimama kidete katika misingi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Rais: Taifa la Iran limesimama kidete katika misingi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 10, 2022 12:08

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao na mabalozi wa nchi za nje hapa mjini Tehran kwa mnasaba wa kukumbuka ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Taifa la Iran limesimama imara katika misingi ya itikadi za mapinduzi yake."

  • Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni

    Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni

    Feb 07, 2022 12:51

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)

    Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)

    Jan 31, 2022 10:42

    Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.

  • Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kuondolewa ujahili mamboleo

    Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kuondolewa ujahili mamboleo

    Jan 30, 2022 09:04

    Neno 'ujahili' au ujinga ambalo limetumika katika Qur'ani na Hadithi na hata katika vitabu na nyaraka nyingi za kihistoria lina maana nyingi.

  • Jumamosi, 17 Julai, 2021

    Jumamosi, 17 Julai, 2021

    Jul 17, 2021 02:38

    Leo ni Jumamosi tarehe 6 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1442 Hijria mwafaka na tarehe 17 Julai 2021 Miladia.

  • Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu  ya Iran yadumu

    Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu

    Feb 07, 2021 10:28

    Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo kilele chake ni tarehe 22 Bahman (10 Februari), tumekuandalia makala hii maalumu itakayozungumzia sababu zilizoyafanya mapinduzi hayo yadumu licha ya kupita miongo minne tangu kutokea kwake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS