Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Eswatini yaikosoa US kwa kuingilia masuala yake ya ndani

    Eswatini yaikosoa US kwa kuingilia masuala yake ya ndani

    Jun 02, 2023 22:02

    Serikali ya Eswatini imeukosoa vikali ubalozi wa Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika

    Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika

    Jun 01, 2023 08:42

    Rais wa Marekani, Joe Biden amelaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo na ameitaka Uganda kufuta mara moja sheria hiyo.

  • Onyo kuhusu kudorora Ulaya katika mfumo unaotawaliwa na Marekani

    Onyo kuhusu kudorora Ulaya katika mfumo unaotawaliwa na Marekani

    May 31, 2023 21:52

    Mwanafikra mashuhuri wa Marekani Noam Chomsky ameonya kwamba huenda Ulaya ikadhoofika sana kiviwanda ikiwa itaendelea kuwa chini ya utawala wa Marekani.

  • Chomsky aonya kuhusu matokeo mabaya ya Ulaya kuwa chini ya utawala wa Marekani

    Chomsky aonya kuhusu matokeo mabaya ya Ulaya kuwa chini ya utawala wa Marekani

    May 31, 2023 06:28

    Mwanafalsafa na mwanaisimu mashuhuri wa Marekani ameonya kuhusu matokeo mabaya ya Ulaya kuwa chini ya udhibiti wa Marekani.

  • Wasiwasi wa Baraza la Haki za Kibinadamu la UN kuhusu hali ya wakimbizi Uingereza na Marekani

    Wasiwasi wa Baraza la Haki za Kibinadamu la UN kuhusu hali ya wakimbizi Uingereza na Marekani

    May 31, 2023 05:55

    Kamishna Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya watu wanaotafuta hifadhi nchini Uingereza na Marekani.

  • Kan'ani aliambia Bunge la Ulaya: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi

    Kan'ani aliambia Bunge la Ulaya: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi

    May 30, 2023 06:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia suala la kualikwa kiongozi wa kundi la kigaidi la MKO katika Bunge la Ulaya na nara zinazotolewa na nchi za Ulaya kuhusu haki za binadamu na kuhoji: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi?

  • China yatupilia mbali ombi la Marekani la kuwakutanisha mawaziri wa ulinzi wa nchi mbili

    China yatupilia mbali ombi la Marekani la kuwakutanisha mawaziri wa ulinzi wa nchi mbili

    May 30, 2023 01:47

    Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeripoti kuwa China imekataa ombi la Marekani la kufanyika mkutano kati ya mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili kando ya kongamano la kila mwaka la usalama nchini Singapore.

  • Mwaka wa tatu wa mauaji ya George Floyd; kuendelea ubaguzi wa rangi  dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika

    Mwaka wa tatu wa mauaji ya George Floyd; kuendelea ubaguzi wa rangi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika

    May 28, 2023 07:19

    Ikiwa umetimia mwaka wa tatu tangu kuuawa kikatili George Floyd, Mmarekani mwenye asili ya Afrika, yaliyofanywa na polisi mbaguzi mzungu anayeitwa Derek Chauvin katika mji wa Minneapolis, Minnesota, suala la ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi nchini Marekani dhidi ya watu weusi au wenye asili ya Afrika bado ni miongoni mwa matatizo makubwa katika nchi hiyo.

  • Aliyehukumiwa kifungo Marekani bila ya kosa lolote aachiliwa baada ya kusota jela kwa miaka 33

    Aliyehukumiwa kifungo Marekani bila ya kosa lolote aachiliwa baada ya kusota jela kwa miaka 33

    May 27, 2023 07:18

    Mwanaume mmoja nchini Marekani amebainika kuwa hana hatia na kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa muda wa miaka 33 kwa kosa la kujaribu kuua.

  • Russia: US inatuma magaidi Afghanistan kuyumbisha uthabiti wa eneo

    Russia: US inatuma magaidi Afghanistan kuyumbisha uthabiti wa eneo

    May 26, 2023 06:15

    Russia imeituhumu Marekani kuwa inataka kutumia magenge ya kigaidi nchini Afghanistan kwa shabaha ya kuvuruga uthabiti katika eneo zima la Asia ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS