Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Maafisa wa Russia: Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh kwa ajili ya kufanya uharibifu dhidi ya Russia

    Maafisa wa Russia: Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh kwa ajili ya kufanya uharibifu dhidi ya Russia

    May 25, 2023 02:17

    Mkurugenzi wa Idara ya Ujasusi wa Kigeni ya Russia ameishutumu Marekani kwa kuikalia kwa mabavu sehemu ya ardhi ya Syria na kuwafunza magaidi wa Daesh (ISIS) jinsi ya kufanya hujuma dhidi ya Moscow.

  • Muungano wa kimataifa wa ndege za kivita: Hatua mpya ya kuchochea vita nchini Ukraine

    Muungano wa kimataifa wa ndege za kivita: Hatua mpya ya kuchochea vita nchini Ukraine

    May 20, 2023 21:58

    Marekani imepiga hatua mpya katika kupanua wigo wa vita nchini Ukraine. Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Jake Sullivan ametangaza kuwa Rais Joe Biden Ijumaa aliwafahamisha viongozi wa Kundi la G7 kwamba ameafiki kutoa mafunzo ya kuendesha ndege za kivita za F-16 kwa marubani wa Ukraine.

  • Biden asisitiza ubaguzi wa rangi ndio tishio kubwa zaidi la kigaidi dhidi ya Marekani

    Biden asisitiza ubaguzi wa rangi ndio tishio kubwa zaidi la kigaidi dhidi ya Marekani

    May 15, 2023 22:00

    Akizungumza karibuni mbele ya jamii ya watu weusi wa Marekani, Rais Joe Biden wa nchi hiyo, amekiri kuwa ubaguzi wa rangi unaofanywa na raia weupe dhidi ya weusi ndio tishio kubwa zaidi la kigaidi linalohatarisha usalama wa nchi hiyo.

  • Kupuuza Misri takwa la Marekani dhidi ya Russia; ishara ya kufifia ushawishi wa Marekani

    Kupuuza Misri takwa la Marekani dhidi ya Russia; ishara ya kufifia ushawishi wa Marekani

    May 14, 2023 10:28

    Gazeti la Wall Street Journal limetangaza kuwa, Misri imepuuzilia mbali takwa la Marekani kwa nchi hiyo la kutoruhusu ndege za kijeshi za Russia kupita katika anga yake.

  • Mamilioni ya hekta za ardhi ya kilimo Marekani zachafuliwa na mada za sumu

    Mamilioni ya hekta za ardhi ya kilimo Marekani zachafuliwa na mada za sumu

    May 08, 2023 21:53

    Watafiti wa Kimarekani wametahadharisha kuhusu uchafuzi wa mamilioni ya hekta za ardhi ya kilimo zilizoharibiwa na mada za sumu nchini humo.

  • Iran yaiambia US kuhusiana na ziara ya Rais Raisi nchini Syria: 'Kasirikeni na kufeni kwa hasira'

    Iran yaiambia US kuhusiana na ziara ya Rais Raisi nchini Syria: 'Kasirikeni na kufeni kwa hasira'

    May 04, 2023 04:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuvunjwa pembe za Marekani huko Syria na katika eneo ndio sababu ya kukasirishwa Ikulu ya White House na ziara ya Rais Ebrahim Raisi mjini Damascus, Syria.

  • Dada wa Kiongozi wa Koreka Kaskazini amuita Biden 'mzee asiye na mustakabali'

    Dada wa Kiongozi wa Koreka Kaskazini amuita Biden 'mzee asiye na mustakabali'

    Apr 29, 2023 22:40

    Korea Kaskazini imemtuhumu Rais wa Marekani Joe Biden kwamba hana akili timamu baada ya kutishia kuiangamiza nchi hiyo iwapo itafanya shambulio la nyuklia na kuishutumu Marekani kwa ilichokiita sera "zilizofurutu mpaka" na za "uhasama".

  • Kuongezeka gharama za kijeshi za Ulaya baada ya Vita Baridi kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa

    Kuongezeka gharama za kijeshi za Ulaya baada ya Vita Baridi kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa

    Apr 28, 2023 09:21

    Matumizi ya kijeshi barani Ulaya katika mwaka ulipoita wa 2022 yalipita kiwango hata cha kipindi zilipomalizika enzi za Vita Baridi.

  • Kugombea kwa

    Kugombea kwa "Joe Biden" katika uchaguzi wa 2024 na changamoto zinazomkabili

    Apr 27, 2023 06:22

    Hatimaye baada ya tetesi za muda mrefu, Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza rasmi kuwa atagombea katika uchaguzi wa rais wa 2024, na iwapo atashinda, atabaki katika Ikulu ya White House kwa miaka mingine minne.

  • Russia Today: Ulaya imekuwa koloni la Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Russia Today: Ulaya imekuwa koloni la Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Apr 25, 2023 22:32

    Chaneli ya televisheni ya Russia Today imeeleza katika ripoti yake ya uchambuzi kuhusu maandamano ya kupinga vita yaliyofanywa na watu kote barani Ulaya kwamba, Ulaya imekuwa koloni la Marekani katika kadhia ya Ukraine

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS