-
Tangazo la Putin la kupelekwa silaha za nyuklia za Russia nchini Belarus
Mar 26, 2023 22:40Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kwamba katika kukabiliana na kushadidi kwa shughuli za kijeshi za nchi za Magharibi na ongezeko la msaada wao kwa jeshi la Ukraine, Moscow sasa itapeleka baadhi ya silaha zake za nyuklia za kimbinu huko Belarus.
-
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Mar 26, 2023 03:39Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na Russia.
-
Kukiri Waziri wa Fedha wa Marekani kuhusu athari ndogo za vikwazo dhidi ya Iran
Mar 25, 2023 22:51Janet Yellen Waziri wa Fedha wa Marekani amekiri kuwa vikwazo vya Washington dhidi ya Iran vimekuwa na taathira ndogo kuliko ilivyopangwa."
-
Vikosi vamizi vya US vyashambuliwa kwa maroketi mashariki ya Syria
Mar 25, 2023 03:38Kambi mbili haramu za wanajeshi vamizi wa Marekani zimeshambuliwa kwa makumi ya maroketi huko mashariki mwa Syria.
-
Mama: Askari wa Marekani waliomuua mwanangu ni wanyama
Mar 23, 2023 08:51Mama mzazi wa Ivor Otieno, kijana Mkenya aliyeuawa hivi karibuni na polisi ya Marekani akiwa korokoroni amewataja askari polisi waliofanya ukatili huo kuwa wanyama.
-
Camarillo: Vijana hawana hamu ya kulitumikia jeshi
Mar 23, 2023 03:55Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ameeleza kuwa, ni vijana wachache sana nchini humo ambao wana hamu ya kufanya kazi jeshini.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine
Mar 22, 2023 04:07Tangu kuanza vita vya Ukraine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza ulazima wa Russia na Ukraine kutatua mgogoro huo kwa njia za kisiasa na mazungumzo. Bila shaka, Tehran pia imechukua hatua kadhaa za kivitendo katika uwanja huo.
-
Russia yafungua kesi ya jinai dhidi ya mwendesha mashtaka mkuu wa ICC, majaji waliotoa hati ya kukamatwa Putin
Mar 21, 2023 07:02Russia imefungua kesi ya jinai dhidi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu na majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kujibu waranti ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin kwa tuhuma za uhalifu wa kivita.
-
Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja
Mar 20, 2023 22:56Miaka 20 iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, Rais wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwa hatua ya upande mmoja na kinyume cha sheria kwa ushirikiano wa Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair. Majeshi ya Marekani na Uingereza yalianzisha vita vikubwa dhidi ya Iraq na kupelekea kuanguka utawala wa Baath ulioongozwa na dikteta Saddam.
-
Ombi la OIC la kutaka Palestina ikubaliwe kuwa mwanachama kamili na rasmi wa Umoja wa Mataifa
Mar 20, 2023 06:59Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetaka yatolewe mashinikizo ili kuhakikisha Palestina inakubaliwa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa.