Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita

    Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita

    Mar 19, 2023 04:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.

  • Kufilisika benki za Marekani na hofu ya madhara yake

    Kufilisika benki za Marekani na hofu ya madhara yake

    Mar 18, 2023 00:35

    Mtikisiko uliosababishwa na kufilisika kwa Benki ya Silicon Valley (SVB) unaendelea kushuhudiwa katika jamii ya Marekani. Wataalamu wengi pia wana wasiwasi kuhusu mustakbali wa uwekezaji na hali ya uchumi katika nchi hiyo na uwezekano wa hali hiyo kuhamia katika maeneo mengine, ikiwa ni pamoja na Ulaya.

  • Russia yasema itajibu chokochoko zozote tarajiwa za Marekani

    Russia yasema itajibu chokochoko zozote tarajiwa za Marekani

    Mar 16, 2023 06:23

    Kufuatia makabiliano ya kijeshi kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi Jumanne ya juzi, Wizara ya Ulinzi ya Russia imesisitiza kuwa, taifa hilo litatoa majibu muafaka kwa uchokozi wowote tarajiwa wa Marekani.

  • Makabiliano ya kijeshi yasiyo ya kawaida kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi

    Makabiliano ya kijeshi yasiyo ya kawaida kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi

    Mar 16, 2023 00:45

    Kituo cha kamandi ya Marekani barani Ulaya kimetangaza kuwa Jumanne asubuhi, ndege ya kivita ya Russia aina ya Sukhoi Su-27 iligongana na ndege isiyo na rubani (droni) ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper katika anga ya Bahari Nyeusi, na kupelekea droni hiyo kuanguka kwenye maji ya kimataifa.

  • National Review: Makubaliano ya Iran-Saudia ni kikwazo kikubwa kwa sera za kigeni za Marekani

    National Review: Makubaliano ya Iran-Saudia ni kikwazo kikubwa kwa sera za kigeni za Marekani

    Mar 15, 2023 08:51

    Jarida la National Review limeandika kuwa: Makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia ambayo yalifikiwa kwa upatanishi wa China ni kushindwa kukubwa kwa malengo ya sera za nje za Marekani katika eneo la Mashariki mwa Asia.

  • Droni ya US yaanguka ikidaiwa kugongana na ndege ya kivita ya Russia, Moscow yakanusha

    Droni ya US yaanguka ikidaiwa kugongana na ndege ya kivita ya Russia, Moscow yakanusha

    Mar 15, 2023 03:53

    Jeshi la Marekani limedai kuwa ndege ya kivita ya Russia ilinasa propela ya ndege moja ya kijasusi isiyo na rubani ya nchi hiyo na kuifanya ianguke kwenye Bahari Nyeusi jana Jumanne katika makabiliano ya kwanza ya moja kwa moja kati ya madola hayo mawili tangu Russia ilipoanzisha operesheni za kijeshi nchini Ukraine mwaka mmoja uliopita.

  • FBI: Uhalifu wa chuki dhidi ya wasio wazungu umeweka rekodi Marekani

    FBI: Uhalifu wa chuki dhidi ya wasio wazungu umeweka rekodi Marekani

    Mar 14, 2023 09:27

    Idara ya Upelelezi ya Marekani (FBI) imesema kuwa uhalifu wa chuki dhidi ya watu wa mbali tofauti uneongezeka kwa kasi nchini humo na kuweka rekodi ya juu zaidi.

  • Kuvunjwa rasmi mpango wa INSTEX; nembo ya kukiukwa ahadi za Ulaya mkabala wa utekelezaji wa JCPOA

    Kuvunjwa rasmi mpango wa INSTEX; nembo ya kukiukwa ahadi za Ulaya mkabala wa utekelezaji wa JCPOA

    Mar 11, 2023 08:15

    Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza juzi Alhamisi ilitangaza katika taarifa yake kuwa imesitisha mfumo kwa jina la mpango wa mabadilishano ya kifedha na kibiashara "INSTEX" uliouanzisha mwaka 2019 kwa ajili ya kulinda biashara na Iran mkabala wa vikwazo vya Marekani.

  • Saudia yaiomba US iisaidie mpango wake wa nyuklia mkabala wa kuanzisha rasmi uhusiano na Israel

    Saudia yaiomba US iisaidie mpango wake wa nyuklia mkabala wa kuanzisha rasmi uhusiano na Israel

    Mar 10, 2023 07:03

    Saudi Arabia imeiomba Marekani iisaidie katika mpango wake wa kurutubisha madini ya urani ili mkabala wake Riyadh itangaze rasmi kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la Wall Street linalochapishwa nchini Marekani.

  • US yaziwekea vikwazo taasisi 39 kwa kuisaidia Iran 'kukwepa' vikwazo vya kifedha

    US yaziwekea vikwazo taasisi 39 kwa kuisaidia Iran 'kukwepa' vikwazo vya kifedha

    Mar 10, 2023 04:06

    Marekani imetangaza kuyawekea vikwazo makumi ya mashirika kwa tuhuma za kuisaidia Iran kukwepa vizingiti vya Washington vya kuiweka Tehran nje ya mfumo wa kimataifa wa fedha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS