-
China yaikosoa vikali Marekani
Mar 09, 2023 04:25Rais Xi Jinping wa Uchina, amehutubu kwenye mkutano wa mwaka wa chama tawala cha Kikomunisti, ambapo ameishambulia vikali Marekani na kusema: Washington inaongoza kampeni ya "kuzuia, kuzingira na kuikandamiza" China.
-
Kampuni za silaha za US zashtakiwa kwa jinai za kivita Yemen
Mar 08, 2023 23:04Mashirika ya kuzalisha silaha ya Marekani yamefunguliwa mashitaka yakituhumiwa kusaidia na kuwa 'mshiriki' wa jinai za kivita nchini Yemen.
-
Mzozo katika kikao cha G20
Mar 06, 2023 23:01Kikao cha kundi la G20 ambacho kiliitishwa kwa kutiliwa mkazo suala la vita vya Ukraine, kimedhihirisha mzozo na hitilafu kubwa zilizopo baina ya nchi wanachama katika masuala tofauti ya kisiasa na kiuchumi kiasi kwamba kikao hicho kilimalizika bila ya kufikiwa makubaliano yoyote.
-
Kana'ani: Marekani iliunga mkono mfumo wa 'apartheid' Afrika Kusini
Mar 05, 2023 07:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani haistahiki kujipiga kifua na kudai kuwa kinara wa kutetea na kulinda haki za binadamu duniani kutokana na rekodi yake nyeusi.
-
US yaendelea kuiba mafuta ya Syria licha ya kukumbwa na zilzala
Mar 05, 2023 07:19Marekani kwa kushirikiana na mamluki wa Kikurdi imeendelea kuiba mafuta ya Syria, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajaribu kujinasua kutoka kwenye misukosuko na changamoto zinazotokana na matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu nchini humo.
-
Marekani yaendeleza uraibu wake wa vikwazo kwa kuiwekea Iran vikwazo vipya
Mar 03, 2023 04:15Marekani imeyawekea vikwazo makampuni na meli kadhaa katika kuendeleza muelekeo wake wa kiundumakuwili na sera yake ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Mlango wa kuhuisha JCPOA hautabaki wazi daima
Mar 02, 2023 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya Marekani kuwa, mlango wa mazungumzo ya kuhuisha makubaliano ya nyukia ya JCPOA hautabaki wazi milele, na kwa msingi huo ameiasa Washington kutumia fursa hiyo vizuri na kuyanusuru mapatano hayo.
-
Rais wa Mexico: Taifa langu lina demokrasia kushinda Marekani
Mar 02, 2023 23:11Rais Andrés Manuel López Obrador wa Mexico amesema taifa lake lina demokrasia zaidi ya Marekani, katika kile kinachoonekana ni kuzidi kuingia doa uhusiano wa nchi mbili hizo.
-
Iran: Mkwamo wa sasa wa JCPOA ni matunda ya sera ghalati za Marekani
Mar 01, 2023 04:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameikosoa na kuilaumu Marekani kwa kukwamisha mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.
-
Wapalestina wapinga mkutano na Israel ulioandaliwa na US huko Jordan
Feb 26, 2023 23:01Maelfu ya Wapalestina wamefanya maandamano katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kulalamikia mkutano eti wa kiusalama ulioandaliwa na Marekani huko Jordan, siku chache baada ya jeshi katili la Israel kufanya mashambulizi ya umwagaji damu huko Jenin.