Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ni kwa sababu gani Katibu Mkuu wa NATO anang'ang'ania Ulaya iendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani?

    Ni kwa sababu gani Katibu Mkuu wa NATO anang'ang'ania Ulaya iendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani?

    Dec 29, 2025 23:14

    Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Mark Rutte ameshikilia msimamo wa kutaka nchi za Ulaya ziendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani.

  • China yaikosoa sera ya Marekani ya kulinda ubabe wake wa kijeshi kwa fitina

    China yaikosoa sera ya Marekani ya kulinda ubabe wake wa kijeshi kwa fitina

    Dec 28, 2025 23:05

    China, katika ukosoaji ulio wazi dhidi ya Marekani, imetangaza kuwa Washington, kwa ajili ya kulinda ubabe wake wa kijeshi, inajihusisha na mbinu za kutia fitna, kugawa na kutawala.

  • Trump asema US imeshambulia kijeshi ndani ya Nigeria kuwalenga wanaoua wakristo wasio na hatia

    Trump asema US imeshambulia kijeshi ndani ya Nigeria kuwalenga wanaoua wakristo wasio na hatia

    Dec 26, 2025 04:01

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanya shambulio la anga dhidi ya wapiganaji wa kundi la DAESH (ISIS) au ISIL kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Iran yasuta 'diplomasia ya mabomu' ya Marekani

    Iran yasuta 'diplomasia ya mabomu' ya Marekani

    Dec 25, 2025 03:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amekejeli na kukosoa vikali tafsiri ya Marekani ya 'diplomasia' katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, akisisitiza kuwa, uwazi na utayarifu kwa mazungumzo hauna mfungamano wowote na kuuripua kwa mabomu upande wa pili wakati wa majadiliano.

  • Kwa nini Marekani inashadidisha mazingira ya vita dhidi ya Venezuela?

    Kwa nini Marekani inashadidisha mazingira ya vita dhidi ya Venezuela?

    Dec 24, 2025 23:06

    Marekani, kwa mara nyingine tena, imeimarisha uwepo wake kijeshi huko Caribbean.

  • 'Futa kauli au jiuzulu': CAIR yamkemea Mkuu wa Intelijensia kwa kudai Uislamu ndiyo tishio kuu kwa US

    'Futa kauli au jiuzulu': CAIR yamkemea Mkuu wa Intelijensia kwa kudai Uislamu ndiyo tishio kuu kwa US

    Dec 24, 2025 02:47

    Jumuiya kubwa zaidi ya kutetea haki za kiraia ya Waislamu nchini Marekani ya Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (Cair) (The Council on American Islamic Relations) imemtaka mkurugenzi wa intelijensia ya taifa ya nchi hiyo Tulsi Gabbard ajiuzulu au afute kauli yake ya kudai kwamba tishio kubwa kwa nchi hiyo ni "Sharia za Kiislamu" na ambazo amesema "zinatishia ustaarabu wa magharibi".

  • Mashinikizo ya Marekani kwa Pakistan kushiriki katika 'Kikosi cha Usalama cha Kimataifa' cha Gaza na kukataa Islamabad

    Mashinikizo ya Marekani kwa Pakistan kushiriki katika 'Kikosi cha Usalama cha Kimataifa' cha Gaza na kukataa Islamabad

    Dec 23, 2025 23:08

    Licha ya mashinikizo ya Marekani kwa Pakistan ili kushiriki katika "Kikosi cha Usalama cha Kimataifa" cha Gaza, lakini Islamabad ilitangaza kwamba bado hakuna uamuzi uliochukuliwa nan chi hiyo wa kutuma wanajeshi katika Ukanda wa Gaza.

  • Venezuela imewezaje kuwa kinara wa ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Latini?

    Venezuela imewezaje kuwa kinara wa ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Latini?

    Dec 21, 2025 23:18

    Venezuela, baada ya kuvuka kikwazo cha vikwazo vya kiuchumi, imejinyakulia kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Kusini mwaka 2025.

  • Iran, Venezuela zalaani 'uharamia' wa Marekani Caribbean

    Iran, Venezuela zalaani 'uharamia' wa Marekani Caribbean

    Dec 21, 2025 07:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi na mwenzake wa Venezuela, Yvan Gil Pinto wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu ambapo wamelaani uwepo wa jeshi la Marekani katika eneo la Caribbean, wakiishutumu Washington kwa kukiuka sheria za kimataifa, na kusisitiza dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika kupinga sera za upande mmoja.

  • Wanazuoni wa Yemen: Kutetea matukufu ya Kiislamu ni wajibu wa kidini

    Wanazuoni wa Yemen: Kutetea matukufu ya Kiislamu ni wajibu wa kidini

    Dec 21, 2025 06:14

    Jumuiya ya Maulamaa wa Yemeni ilifanya mkutano mkubwa katika mji mkuu Sanaa siku ya Jumamosi, na kusisitiza jukumu la kidini la wasomi na maulamaa katika kutetea Qur’an na matukufu ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS