-
Kusambaratika miundombinu ya uchumi wa Afghanistan katika miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu na Marekani
Nov 17, 2022 22:49Waziri wa Uchumi wa serikali ya wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan amesema kuwa, miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na wanajeshi wa Marekani ndio sababu kuu ya kusambaratika miundombinu ya uchumi wa nchi hiyo.
-
Iran yaitaka Marekani iache unafiki katika mazungumzo ya JCPOA
Nov 17, 2022 03:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ipo mbioni kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na kwa msingi huo amewaasa viongozi wa nchi hiyo na timu ya wapatanishi wa Washington katika mazungumzo hayo kuweka pembeni unafiki.
-
Marekani yaitaka Ukraine ifanye mazungumzo ya amani na Russia
Nov 14, 2022 07:12Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wameanzisha kampeni ya kuishawishi Ukraine itafakari juu ya suala la kufanya mazungumzo ya amani na Russia, wakihofia kuwa msimu wa baridi kali yumkini ukaikwamisha serikali ya Kiev baada ya eti kupata ushindi wa kulidhibiti tena eneo la Kherson.
-
Marekani yaituhumu Imarati kuwa inaingilia siasa zake
Nov 13, 2022 22:53Ripoti ya siri iliyotolewa na maafisa wa Idara ya Intelijensia ya Marekani imedai kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu umefanya jitihada kubwa za kujaribu kutatiza na kuvuruga mfumo wa kisiasa wa Marekani.
-
Mashinikizo mapya ya Magharibi dhidi ya Iran baada ya kushindwa mradi wa kuibua ghasia
Nov 12, 2022 22:52Nchi za Magharibi baada ya kushindwa mradi wao wa kuibua ghasia nchini Iran sasa zinatafuta njia nyingine mpya mbadala ili kuiwekea mashinikizo Tehran. Katika uwanja huo, nchi za Magharibi khususan za Ulaya mbali na kuratibu vikwazo vipya zimejielekeza katika kutoa taarifa na maazimio dhidi ya Iran sambamba na kushadidisha mashinikizo ya kisiasa dhidi ya nchi hii.
-
Uchunguzi: Wamarekani wingi weusi hawawezi kushiriki katika chaguzi za Marekani
Nov 09, 2022 08:51Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa idadi isiyo na kikomo ya raia weusi wa Marekani hawawezi kushiriki katika chaguzi zinazofanyika chini humo.
-
Sisitizo jingine la Marekani la kuunga mkono vurugu na machafuko nchini Iran
Nov 09, 2022 05:12Ned Price, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani ameendelea kuunga mkono vurugu na machafuko nchini Iran na kukana kabisa kuhusika nchi yake katika vurugu hizo.
-
Afisa wa jeshi la Marekani: Karibuni hivi tutaingia kwenye mapigano ya muda mrefu na China
Nov 08, 2022 03:48Afisa mwandamizi wa jeshi la Marekani amesema karibuni hivi nchi hiyo itaingia kwenye mzozo na makabiliano ya muda mrefu na China na akatahadharisha juu ya kile alichoeleza kuwa ni kubaki nyuma Washington katika uwezo wa kijeshi mkabala na Beijing.
-
Wamarekani wana hofu ya kuibuka ghasia baada ya uchaguzi
Nov 06, 2022 04:12Utafiti mpya umeonesha kuwa, akthari ya wananchi wa Marekani wana wasiwasi wa kuibuka ghasia na machafuko ya kisiasa baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula unaotazamiwa kufanyika karibuni hivi.
-
Jibu la Rais wa Iran kwa bwabwaja na njozi za Biden
Nov 05, 2022 07:57Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika marasimu ya kukumbuka tarehe 13 Aban ambayo inaadhimishwa hapa nchini kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari Duniani kwamba: Marekani ina nafasi ya kwanza katika vita na umwagaji damu na inaangamiza na kuharibu maslahi ya mataifa mengine ili kujidhaminia maslahi yake. Rais wa Iran ameeleza hayo katika radiamali yake kwa matamshi ya Joe Biden ya kuuunga mkono ghasia na fujo nchini Iran.