Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Onyo la Russia kuhusu Wamagharibi kutuma magaidi nchini Ukraine

    Onyo la Russia kuhusu Wamagharibi kutuma magaidi nchini Ukraine

    Nov 04, 2022 08:45

    Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, Nikolay Patrushev, ametangaza kuwa Marekani na Uingereza zinasajili na kuajiri magaidi wa kimataifa kwa ajili ya kushirikiana na jeshi la Ukraine katika vita dhidi ya Russia.

  • Sheikh Kazem Sediqi: Lengo la Marekani ni kuchochea hisia za kikaumu nchini Iran

    Sheikh Kazem Sediqi: Lengo la Marekani ni kuchochea hisia za kikaumu nchini Iran

    Nov 04, 2022 08:24

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, lengo la utawala wa Marekani katika fitina na vurugu za hivi karibuni hapa Iran ni kuchochea hisia za kikaumu na kuzusha vita vya ndani katika taifa hili.

  • China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran

    China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran

    Nov 03, 2022 22:52

    China na Russia zimelaani kuitishwa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Wawakilishi wa China na Russia wamelaani kitendo cha Marekani na Albania cha kufanya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eti matukio ya Iran.

  • Russia: Kuna wajibu kwa jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai za Marekani

    Russia: Kuna wajibu kwa jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai za Marekani

    Nov 03, 2022 03:27

    Naibu wa Mkuu wa Timu ya Russia katika Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema, Marekani lazima ibebe lawama za jinai zake duniani na ameitaka jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai hizo za Washington.

  • Wanaoiwekea vikwazo Russia sasa ndio wateja wake wakuu: Kushindwa kampeni ya vikwazo vya Magharibi

    Wanaoiwekea vikwazo Russia sasa ndio wateja wake wakuu: Kushindwa kampeni ya vikwazo vya Magharibi

    Nov 03, 2022 00:46

    Gazeti la Marekani la New York Times limeandika katika ripoti kwamba baadhi ya nchi za Magharibi zinazounga mkono vikwazo dhidi ya Russia zimeongeza uagizaji wa bidhaa na hasa nishati kutoka nchi hiyo tangu Februari mwaka huu.

  • Iran yajibu uvumi wa gazeti la Marekani kuhusu kuishambulia Saudia

    Iran yajibu uvumi wa gazeti la Marekani kuhusu kuishambulia Saudia

    Nov 02, 2022 23:11

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu uvumi ulioenezwa na gazeti la Marekani la Wall Street Journal lililodai kuwa kuna uwezekano Iran ikashambulia baadhi ya maeneo ya Saudi Arabia na kusema kuwa hayo ni madai chapwa yasiyo na msingi wowote.

  • Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani

    Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani

    Oct 29, 2022 07:45

    Akizungumza juzi Alhamisi katika Kongamano la Valdai, Rais Vladmir Putin wa Russia amekosoa mfumo na siasa za Magharibi na kueleza kuwa nchi za Magharibi zilimuua Luteni Jenerali Soleimani; katika hali ambayo shakhsia huyo alikuwa kiongozi rasmi nchini mwake na kuongeza kwamba Wamagharibi si tu hawajakana jambo hilo bali wanajifakharisha nalo.

  • Afrika Kusini yaishambulia US kwa kutoa 'tahadhari ya shambulio la kigaidi'

    Afrika Kusini yaishambulia US kwa kutoa 'tahadhari ya shambulio la kigaidi'

    Oct 29, 2022 07:26

    Viongozi wa Afrika Kusini wameikosoa serikali ya Marekani kwa kutoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea shambulizi la kigaidi katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • DNA yamuokoa Mmarekani mweusi aliyefungwa 'kimakosa' miaka 38

    DNA yamuokoa Mmarekani mweusi aliyefungwa 'kimakosa' miaka 38

    Oct 29, 2022 07:19

    Raia mmoja wa Marekani mwenye asili ya Afrika ameachiwa huru baada ya kufungwa jela kwa karibu miongo minne kwa kosa ambalo hakulifanya.

  • Russia yaonya baada ya US kupeleka silaha mpya za nyuklia Ulaya

    Russia yaonya baada ya US kupeleka silaha mpya za nyuklia Ulaya

    Oct 29, 2022 07:11

    Russia imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kupeleka silaha mpya za kisasa za nyuklia za B61 katika kambi za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) barani Ulaya na kuonya kuwa, ikilazimu, Moscow itatoa jibu kali kwa kitendo hicho.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS