Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi

    Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi

    Jul 31, 2022 22:17

    Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutamatisha mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Tehran haraka iwezekanavyo, sanjari na kuipa Marekani fursa nyingine ya kurekebisha makosa yake.

  • Onyo la moja kwa moja la Rais wa China kwa mwenzake wa Marekani

    Onyo la moja kwa moja la Rais wa China kwa mwenzake wa Marekani

    Jul 31, 2022 21:46

    Katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani, Rais Xi Jinping wa China amemuonya kuwa Marekani haipaswi kuchezea moto kwa kujaribu kusambaratisha mfumo wa China Moja kuhusu kisiwa cha Taiwan.

  • Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia

    Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia

    Jul 31, 2022 02:57

    Serikali ya Marekani inaendelea na siasa zake za kuchochea vita kwa kuiuzia Ujerumani ndege za kivita kwa kisingizio cha kukabiliana na Russia katika mgogoro wa Ukraine.

  • CNN: Mfumuko mkubwa wa bei Marekani hauishii tu kwenye mafuta na chakula

    CNN: Mfumuko mkubwa wa bei Marekani hauishii tu kwenye mafuta na chakula

    Jul 31, 2022 02:53

    Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa, mfumuko mkubwa wa bei ulioikumba nchi hiyo hauishii tu kwenye mafuta na chakula bali umezikumba bidhaa zote muhimu kwa wananchi wa nchi hiyo.

  • Taiwan kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na US licha ya onyo la China

    Taiwan kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na US licha ya onyo la China

    Jul 29, 2022 23:14

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Taiwan imesisitiza kuwa Taipei itaimarisha uhusiano wa ushirikiano wake wa kijeshi na Marekani licha ya onyo kali lililotolewa hivi karibuni na Rais Xi Jinping wa China.

  • New York Times: Iran imekuwa msafirishaji nje mkubwa wa drone duniani

    New York Times: Iran imekuwa msafirishaji nje mkubwa wa drone duniani

    Jul 29, 2022 02:35

    Gazeti la The New York Times la Marekani limewanukuu wataalamu mbalimbali wakisema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa msafirishaji nje mkubwa wa ndege zisizo na rubani (drone) duniani na inazidi kueneza ushawishi wake katika maeneo tofauti ya hata nje ya Asia Magharibi.

  • Trump: Marekani imekuwa taifa ombamba

    Trump: Marekani imekuwa taifa ombamba

    Jul 27, 2022 21:53

    Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema nchi hiyo imegeuka na kuwa 'taifa ombaomba' na kwamba hivi sasa nchi hiyo inakumbwa na wimbi la udhalilishaji wa kihistoria.

  • Magendo ya binadamu yameongezeka mara 26 katika mpaka hatari zaidi duniani

    Magendo ya binadamu yameongezeka mara 26 katika mpaka hatari zaidi duniani

    Jul 26, 2022 06:59

    Wizara ya usalama wa ndani ya Marekani imetangaza kuwa, pato linalopatikana katika biashara haramu ya magendo ya binadamu inayofanywa kupitia mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mexico, ambao ni mpaka hatari zaidi duniani, limeongezeka kutoka dola milioni 500 mwaka 2018 na kufikia dola bilioni 13 kwa sasa.

  • China na Taiwan kwenye mzingo wa mivutano iliyoibuliwa na Washington

    China na Taiwan kwenye mzingo wa mivutano iliyoibuliwa na Washington

    Jul 25, 2022 07:01

    Ziara iliyopangwa kufanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani na misaada ya silaha Washington kwa Taiwan vimezidisha hali ya wasiwasi katika Bahari ya China.

  • Mwisho wa Ulimwengu wa Kikristo

    Mwisho wa Ulimwengu wa Kikristo"... Je, nchi za Magharibi zinarudi kwenye upagani?

    Jul 25, 2022 07:00

    Mwandishi na mwanafalsafa wa Ufaransa, Chantal Delsol anasema kwamba ustaarabu unaotegemea mila na sheria za imani ya Kikristo umenyauka tangu mwisho wa karne ya 20, kwa sababu Ukristo unazidi kutoweka kama marejeo makuu ya sheria, desturi na maadili, baada ya kkutawala Uulaya na Magharibi kwa karibu karne 16.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS