-
"Marekani ikiwa na irada ya kisiasa kama Iran, makubaliano yatafikiwa"
Jul 25, 2022 06:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitakubali kushinikizwa juu ya kufikia haraka muafaka wa kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi
Jul 24, 2022 03:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zzimio lililotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya Iran ni hatua ya kuzusha mgogoro iliyokuwa na lengo la kuliwekea mashinikizo taifa la Iran.
-
Watoto wahajiri nchini Marekani wapewa kazi za sulubu viwandani
Jul 23, 2022 06:53Makumi ya watoto wahajiri wanatumikishwa na kupewa kazi za sulubu kwenye kiwanda kimoja cha kufua vyuma nchini Marekani.
-
Marekani yaripoti kesi ya kwanza ya polio baada ya muongo mmoja
Jul 22, 2022 02:55Marekani imeripoti kesi ya kwanza ya ugonjwa wa kupooza au polio baada ya kupita karibu miaka kumi.
-
Ubaguzi wa rangi dhidi ya watu wenye asili ya Asia umekithiri Marekani
Jul 21, 2022 22:04Matokeo ya utafiti uliofanywa katika majimbo mbalimbali ya Marekani yanaonyesha kuwa, vitendo na mienendo ya ubaguzi wa rangi dhidi ya raia wa nchi hiyo wenye asili ya Asia imeongezeka katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
93% ya Wamarekani watiwa hofu na mfumko wa juu wa bei
Jul 19, 2022 21:49Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa huko Marekani unaonyesha kuwa, mfumko wa bei za bidhaa nchini humo unawatia wasi wasi asilimia 93 ya Wamarekani.
-
Onyo la China kwa Marekani iwapo Spika Pelosi atazuru Taiwan
Jul 19, 2022 21:49China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua za nguvu' iwapo Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi atafanya safari ya kuitembelea Taiwan mwezi ujao wa Agosti.
-
Sanders aikosoa Marekani kwa kuimarisha uhusiano na Saudia
Jul 18, 2022 03:07Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amekosoa vikali safari ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo huko Saudi Arabia na kusisitiza kuwa, Washington haipaswi kuwa na 'uhusiano mzuri' na utawala huo wa kifalme.
-
Marandi: Makubaliano ya Marekani na Iran ni hatua erevu ya kuzuia mgogoro wa nishati
Jul 17, 2022 07:21Mohammad Marandi, mchambuzi mwandamizi wa masuala ya kisiasa na mitaala kuhusu Marekani amesema makubaliano kati ya Marekani na Iran ni hatua erevu ambayo kama itachukuliwa itazuia kutokea mgogoro wa nishati katika nchi za Magharibi.
-
Jen. Shekarchi: Marekani, Israel zinajua vyema gharama ya kuitishia Iran
Jul 15, 2022 22:14Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinatambua vizuri kile ambacho kitawafika iwapo zitathubutu kutelekeza kivitendo vitisho vyao dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.