Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Wamarekani waandamana kutaka kubadilishwa sheria ya kumiliki bunduki nchini humo

    Wamarekani waandamana kutaka kubadilishwa sheria ya kumiliki bunduki nchini humo

    Jun 12, 2022 03:25

    Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika majimbo na miji mbalimbali ya Marekani ukiwemo mji mkuu Washington, kushinikiza kuangaliwa upya sheria inayoruhusu kuuzwa na kumiliki silaha za moto kiholela nchini humo; siku chache baada ya kujiri mauaji ya kutisha huko Texas, ambapo watoto 19 wa shule na walimu wawili waliuawa kwa kufyatuliwa risasi.

  • Israel yamshinikiza Biden aondea Pegasus kwenye orodha nyeusi ya US

    Israel yamshinikiza Biden aondea Pegasus kwenye orodha nyeusi ya US

    Jun 10, 2022 22:05

    Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanamshinikiza Rais Joe Biden wa Marekani afute jina la kampuni ya Israel ya NSO ambayo imekuwa ikiuza programu ya kijasusi ya Pegasus kwenye orodha nyeusi ya Washington.

  • Russia yaonya kuhusu uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na kambi ya Magharibi

    Russia yaonya kuhusu uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na kambi ya Magharibi

    Jun 10, 2022 21:53

    Russia imezionya nchi za Magharibi kuwa hujuma ya kiintaneti dhidi ya miundomsingi yake ni jambo ambalo litaibua hatari ya kutokea makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi. Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa na kusema kuwa, miundomsingi ya kijeshi na ya baadhi ya taasisi za kiserikali nchini humo imekumbwa na hujuma ya kiintaneti ambayo imetekelezwa na makundi ya wadukuzi wa Marekani na Ukraine.

  • Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa azimio la US, EU lililopasishwa na IAEA dhidi yetu

    Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa azimio la US, EU lililopasishwa na IAEA dhidi yetu

    Jun 09, 2022 18:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA cha kupasisha azimio dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, taifa hili litatoa jibu mwafaka na madhubuti kwa hatua hiyo.

  • Mama ashtakiwa Marekani baada ya mtoto wa miaka 2 kumuua baba kwa kumpiga risasi

    Mama ashtakiwa Marekani baada ya mtoto wa miaka 2 kumuua baba kwa kumpiga risasi

    Jun 07, 2022 23:08

    Mwanamke mmoja katika mji wa Orlando jimboni Florida nchini Marekani ameshtakiwa kwa kosa la kumuua mumewe bila kukusudia baada ya mtoto wao wa miaka miwili kufyatua risasi kwa bahati mbaya ndani ya nyumba yao iliyompata mgongoni baba mtu na kumuua.

  • New York Post: Los Angeles ni kitovu cha wizi wa kutumia silaha Marekani

    New York Post: Los Angeles ni kitovu cha wizi wa kutumia silaha Marekani

    Jun 05, 2022 03:32

    Gazeti la New York Post limeripoti kuwa mji wa Los Angeles umegeuka kuwa moja ya vitovu vya wizi wa kutumia silaha nchini Marekani na kwamba magenge wa wezi wanaotumia nguvu yamekuwa tishio kubwa kwa raia na nyumba zao.

  • Sisitizo la Katibu Mkuu wa NATO kuhusu kujiandaa Magharibi kwa vita vya muda mrefu Ukraine

    Sisitizo la Katibu Mkuu wa NATO kuhusu kujiandaa Magharibi kwa vita vya muda mrefu Ukraine

    Jun 04, 2022 22:08

    Katibu Mkuu wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, Jens Stoltenberg, baada ya kuonana na rais wa Marekani, Joe Biden ili kujua msimamo wa Washington kuhusu vita vya Ukraine amedai kwamba nchi za Magharibi zinapaswa kujiandaa kwa vita vya muda mrefu huko Ukraine.

  • Kuwait yachukizwa na hatua ya balozi wa Marekani kutetea maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja

    Kuwait yachukizwa na hatua ya balozi wa Marekani kutetea maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja

    Jun 03, 2022 23:43

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait imemwita balozi mdogo wa Marekani nchini humo kufuatia hatua ya ubalozi wao kutoa matamshi ya kutetea na kuunga mkono maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja.

  • Medvedev: Russia iko kwenye vita vinavyopiganwa kwa niaba ya Marekani na Ulaya

    Medvedev: Russia iko kwenye vita vinavyopiganwa kwa niaba ya Marekani na Ulaya

    Jun 03, 2022 23:37

    Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema, nchi yake iko kwenye vita vinavyopiganwa kwa niaba ya Marekani na Ulaya na akasisitiza kuwa kuna ulazima wa kuzuia kutokea vita vya atomiki.

  • Iran yazionya Marekani na nchi tatu za Ulaya

    Iran yazionya Marekani na nchi tatu za Ulaya

    Jun 01, 2022 22:53

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amezihutubu nchi tatu za Ulaya, yaani Ujerumani, Uingereza na Ufaransa pamoja na Marekani na kusema: "Mnaweza kufuata mkondo wa udiplomasia au muende kinyume chake. Sisi tuko tayari kwa machaguo hayo mawili."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS