-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Saudi Arabia ni kibaraka wa Marekani
Oct 06, 2021 04:45Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Uokovu wa Taifa nchini Yemen amesema kuwa maslahi ya Marekani ndiyo yanayotawala maamuzi ya Saudi Arabia na washirika wake katika suala la kusitisha vita na uvamizi wao dhidi ya taifa la Yemen.
-
Marekani: Tuko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote
Oct 05, 2021 07:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, nchi yake iko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote yale.
-
Waliouawa na corona Marekani wapindukia laki saba, sababu na athari zake
Oct 04, 2021 01:03Baada ya kupita yapata miaka miwili sasa tangu mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona ulipoikumba Marekani, idadi ya Wamarekani waliouawa na virusi hivyo imepindukia laki saba. Katika kipindi cha miezi mitatu na nusu iliyopita pekee zaidi ya Wamarekani laki moja wameaga dunia kutokana na Covid-19 licha ya kiwango kikubwa cha chanjo kilichotolewa nchini humo.
-
Russia: Marekan inawahamishia Afghanistan magaidi wa Daesh
Oct 03, 2021 01:09Naibu Kamanda wa Wilaya ya Kati ya Jeshi la Russia amesema kuwa jeshi la Marekani linawahamisha magaidi walioko Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Foreign Policy: Sera ya mashinikizo ya juu ya kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu
Sep 30, 2021 22:56Jarida la Foreign Policy la nchini Marekani limeeleza katika ripoti yake kwamba, sera za mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu; na Tehran haina hofu yoyote kuhusiana na Marekani.
-
Wasiopiga chanjo wavunjisha tena rekodi ya vifo vya corona Marekani
Sep 30, 2021 02:57Idadi ya watu wanaokufa kutokana na corona nchini Marekani imekuwa ikiongezeka kila siku katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.
-
Mahakama ya ICC yafumbia jicho jinai zilizofanywa na Marekani nchini Afghanistan
Sep 28, 2021 08:39Licha ya uhalifu mkubwa na ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani nchini Afghanistan katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) sasa inakusudia kuweka kando uchunguzi kuhusu uhalifu wa kivita uliofanywa na wanajeshi wa Marekani na NATO nchini humo.
-
Marekani yatoa onyo kwa Uturuki dhidi ya kununua tena silaha kutoka Russia
Sep 27, 2021 22:55Marekani imesema kuna uwezekano wa kuiwekea Uturuki vikwazo vipya kwa sababu ya ununuzi wa mtambo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia.
-
Asilimia 70 ya Wademocrat hawataki Trump agombee urais mwaka 2024
Sep 27, 2021 01:02Asilimia 70 ya Wademocrat nchini Marekani wanapinga jaribio la aina yoyote la rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump kugombea katika uchaguzi wa rais mwaka 2024.
-
Juhudi za Biden za kujaribu kupunguza mvutano baina ya Marekani na Ufaransa
Sep 23, 2021 22:46Kufuatia mazungumzo ya simu ya Marais Joe Biden wa Marekani na Emmanuel Macron wa Ufaransa hapo siku ya Jumatano, viongozi hao wametoa taarifa ya pamoja wakisema wameamua kuendelea na mashauriano kwa ajili ya kutatua hitilifu zilizojitokeza baina ya pande mbili kuhusu mkataba wa kiusalama wa AUKUS.