Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ilhan Omar ataka ufafanuzi wa Biden juu ya shambulio la anga Somalia

    Ilhan Omar ataka ufafanuzi wa Biden juu ya shambulio la anga Somalia

    Jul 24, 2021 20:50

    Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic amemuandikia barua Rais Joe Biden wa nchi hiyo, akitaka ufafanuzi na maelezo kuhusu shambulio la kwanza la anga lililofanywa na utawala wake nchini Somalia.

  • HRW: Biden anapaswa kusitisha uuzaji wa silaha kwa tawala zinazokiuka haki za binadamu

    HRW: Biden anapaswa kusitisha uuzaji wa silaha kwa tawala zinazokiuka haki za binadamu

    Jul 24, 2021 10:18

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Righs Watch limemtaka Rais Joe Biden wa Marekani asitishe uuzaji wa silaha kwa wakiukaji wa haki za binadamu zikiwemo tawala za Misri na Israel.

  • Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani

    Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani

    Jul 24, 2021 03:37

    Kamati ya Uratibu ya Makundi ya Muqawama ya Iraq imesisitiza juu ya kutoruhusiwa uwepo wa aina yoyote ile wa majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • HRW yamtaka Biden asitishe uuzaji wa silaha kwa tawala zinazokiuka haki za binadamu

    HRW yamtaka Biden asitishe uuzaji wa silaha kwa tawala zinazokiuka haki za binadamu

    Jul 23, 2021 23:24

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limemtaka Rais Joe Biden wa Marekani kuziwekea vikwazo vya silaha tawala zinazokiuka haki za binadamu

  • WSJ: Marekani kuondoa askari wake Iraq kufikia mwishoni mwa 2021

    WSJ: Marekani kuondoa askari wake Iraq kufikia mwishoni mwa 2021

    Jul 23, 2021 03:16

    Gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal limedai kuwa, Marekani na Iraq zimeafikiana juu ya kuondoka wanajeshi wote wa US kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu kufikia mwishoni mwaka huu 2021.

  • Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan

    Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan

    Jul 22, 2021 07:00

    Zamir Kabulov, mjumbe wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema katika mkutano wa Valdai Discussion Club kwamba: Askari wa Marekani na waitifaki wake walikuwa na mawasiliano na ushirikiano na kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.

  • Vifo vya utumiaji wa madawa ya kulevya Marekani vyaongezeka kwa asilimia 30

    Vifo vya utumiaji wa madawa ya kulevya Marekani vyaongezeka kwa asilimia 30

    Jul 18, 2021 06:55

    Takwimu za vifo vinavyosababishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya wa kupindukia nchini Marekani zinazonyesha kuwa, vifo hivyo viliongezeka kwa asilimia 30 mwaka jana (2020) ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake yaani 2019.

  • Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon

    Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji mkuu wa masaibu yote ya Lebanon

    Jul 17, 2021 03:17

    Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, uingiliaji wa Marekani ndio sababu kuu ya masaibu yote ya Lebanon na akasisitiza kwamba, fitna ya Marekani inaandama na kuhujumu kila sehemu ya eneo la Asia Magharibi ulipo muqawama na uteteaji wa sharafu na heshima.

  • Zarif: Marekani inaficha uhalifu wake kwa kuzitupia tuhuma nchi nyingine

    Zarif: Marekani inaficha uhalifu wake kwa kuzitupia tuhuma nchi nyingine

    Jul 16, 2021 22:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu propaganda chafu mpya za Marekani ndhidi ya Iran na kuishauri Washington ishughulikie masuala ya ndani ya nchi hiyo badala ya kuzitupia tuhuma nchi nyingine.

  • Pentagon yakiri: Wauaji wa Rais wa Haiti walikuwa na uhusiano na jeshi la Marekani

    Pentagon yakiri: Wauaji wa Rais wa Haiti walikuwa na uhusiano na jeshi la Marekani

    Jul 16, 2021 22:39

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani, (Pentagon) amekiri kwamba, wauaji wa Rais wa Haiti walipewa mafunzo na jeshi la nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS