Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi

    Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi

    May 23, 2021 06:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.

  • Serikali ya Biden yatakiwa iushinikize utawala wa Saudia uondoe mzingiro dhidi ya Yemen

    Serikali ya Biden yatakiwa iushinikize utawala wa Saudia uondoe mzingiro dhidi ya Yemen

    May 21, 2021 21:58

    Maseneta kadhaa nchini Marekani wamemuandikia barua Rais Joe Biden wa Marekani na kumtaka aishinikize Saudi Arabia ili iondoe mzingiro dhidi ya Yemen. Waliotia saini mapatano hayo ni maseneta Elizabeth Warren na Bernie Sanders.

  • Onyo kali la China kuhusu chokochoko za Marekani katika eneo la Asia Mashariki

    Onyo kali la China kuhusu chokochoko za Marekani katika eneo la Asia Mashariki

    May 21, 2021 06:01

    Kufuatia kuingia kinyume cha sheria meli ya kivita ya Marekani katika eneo la baharini la China katika Bahari ya Kusini ya China , wakuu wa Beijing wametoa onyo kali kwa Ikulu ya White House kuhusu madhara ya ukiukwaji wa mipaka ya China.

  • Mpango wa wawakilishi wa Kongresi ya Marekani wa kuzuia kuuziwa silaha mpya Israel

    Mpango wa wawakilishi wa Kongresi ya Marekani wa kuzuia kuuziwa silaha mpya Israel

    May 20, 2021 21:44

    Kuendelea himaya na uungaji mkono wa kila upande wa Marekani kwa utawala wa dhalimu wa Kizayuni wa Israel licha ya jinai zote unazotenda dhidi ya wananchi wa Palestina hususan mashambulio ya anga na mizinga dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuua wakazi wake, ni jambo ambalo limekabiliwa na ukosoaji mkali hata ndani ya Marekani kwenyewe

  • Silaha mpya za Marekani kwa utawala wa Israel; hatua nyingine ya kuendeleza mauaji dhidi ya Wapalestina

    Silaha mpya za Marekani kwa utawala wa Israel; hatua nyingine ya kuendeleza mauaji dhidi ya Wapalestina

    May 19, 2021 22:23

    Sambamba na kufikia kilele jinai za utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina, serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani umeamua kuuzia utawala huo silaha mpya na za kisasa kabisa zenye thamani ya dola milioni 735.

  • China: Marekani inahatarisha amani kwenye langobahari la Taiwan, mapigano yanaweza kutokea

    China: Marekani inahatarisha amani kwenye langobahari la Taiwan, mapigano yanaweza kutokea

    May 19, 2021 01:34

    China imekosoa harakati za kichochezi zinazofanywa na Marekani katika langobahari la Taiwan na kueleza kwamba, kuweko manowari ya Marekani katika eneo hilo kunahatarisha amani na uthabiti katika njia hiyo ya baharini ya maji ya kimataifa.

  • Ripoti ya New York Times kuhusu kuongezeka duniani malalamiko dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Ripoti ya New York Times kuhusu kuongezeka duniani malalamiko dhidi ya utawala wa Kizayuni

    May 19, 2021 00:05

    Gazeti la New York Times limechapisha ripoti inayoonyesha kuongezeka ulimwenguni malalamiko na maandamano yaliyo dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia jinai na mashambulio yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.

  • Kikao cha tatu kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Palestina, kuendelea ukwamishaji wa Marekani

    Kikao cha tatu kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Palestina, kuendelea ukwamishaji wa Marekani

    May 17, 2021 04:09

    Kwa mara nyingine tena, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa hata kulaani jinai za utawala wa Kizayuni kutokana na ukwamishaji wa dola la kibeberu la Marekani.

  • Asasi za Kiislamu Marekani zasusia dhifa ya Idi White House kulalamikia uungaji mkono wa Washington kwa jinai za Israel

    Asasi za Kiislamu Marekani zasusia dhifa ya Idi White House kulalamikia uungaji mkono wa Washington kwa jinai za Israel

    May 16, 2021 23:05

    Jumuiya na asasi za Kiislamu nchini Marekani zimesusa kuhudhuria dhifa ya kila mwaka ya Idul-Fitri inayoandaliwa na Ikulu ya White House kulalamikia uungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo kwa jinai za kinyama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wakiwemo wa Ukanda wa Gaza.

  • China yasisitiza kutokuwepo uadilifu katika usambazaji wa chanjo ya corona duniani

    China yasisitiza kutokuwepo uadilifu katika usambazaji wa chanjo ya corona duniani

    May 16, 2021 22:05

    Katika hali ambayo virusi vya corona vinaendelea kuuawa watu wengi duniani na mataifa mengi kutokuwa na uwezo wa kujidhaminia chonjo za kukabiliana na maradhi hayo hatari, nchi tajiri za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinaendelea kutekeleza ugaidi wa dawa na vifaa vya matibabu katika ngazi za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS