-
Mgogoro wa usalama nchini Marekani
Jan 12, 2021 09:00Uvamizi uliofanywa na wafuasi wa Donald Trump dhidi ya jingo la Kongresi ya Marekani Januari sita mwezi huu na tishio la kuendelea vitendo kama hivi vya utumiaji mabavu sambamba na kujiuzulu maafisa wa usalama wa nchi hiyo, ni mambo ambayo yameifanya Marekani ikabiliwe na mgogoro wa usalama wakati huu wa kukaribia hafla ya kuapishwa rais mteule wa nchi hiyo Joe Biden.
-
Machafuko kushuhudiwa katika majimbo 50 ya Marekani kabla ya kuapishwa Biden
Jan 12, 2021 04:29Jarida linalochapishwa na Shirika la upelelezi la Marekani (FBI) limetahadharisha kuwa, magenge ya uhalifu yaliyojizatiti kwa silaha yanajiandaa kuibua ghasia na machafuko katika majimbo 50 ya nchi hiyo, kuelekea siku ya kuapishwa Rais mteule wa nchi hiyo Joe Biden, Januari 20.
-
Russia yajibu madai ya Pompeo dhidi ya Iran, yasema Iran ni muathirika wa silaha za kemikali
Jan 12, 2021 01:44Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov amekanusha madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo kuwa eti Iran imetumia silaha za kemikali na kusema kuwa, Iran yenyewe ni muathiriak wa silaha hizo.
-
Ujumbe na malengo ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Falih al-Fayadh
Jan 11, 2021 23:02Wizara ya Fedha ya Marekani, siku ya Ijumaa iliweka jina la Falih al-Fayadh, Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi ya nchini Iraq katika orodha yake ya vikwazo kwa kisingizio cha kukiuka haki za binadamu. Hatua hiyo ya Marekani ina ujumbe muhimu kwa mitazamo kadhaa.
-
Kuanza mwenendo wa kusailiwa Trump
Jan 11, 2021 09:41Hujuma ya tarehe 6 mwezi huu ya wakereketwa na wafuasi sugu wa Rais Donald Trump katika Congress ya Marekani imezua radiamali kali katika nchi hiyo na sasa Wamarekani wanataka rais huyo achukuliwe hatua za kisheria, na tayari Wademokrat wameanzisha mwenendo wa kusailiwa kwake bungeni.
-
Khatibzadeh: Iran haiwezi kuwa mateka wa mashinikizo bandia ya watu walioshindwa
Jan 11, 2021 08:42Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran ikiwa serikali husika katika fremu ya ufundi na uchukuaji maamuzi kwa kujitegemea ndio inayopaswa kutoa majibu ya tukio la kuanguka ndege ya Ukraine katika anga ya taifa hili na kwamba, katu haitakubali kuwa mateka wa siasa na mashinikizo ya bandia ya pande zilizoshindwa.
-
Mawakili: Lori lililojaa mabomu na silaha liligunduliwa karibu na jengo la Congress nchini Marekani
Jan 10, 2021 09:47Waendesha mashtaka wa Shirikisho nchini Marekani wamesema kuwa, jeshi la polisi la nchi hiyo liligundua lori moja lililojaa mabomu ya kutengenea kienyeji na silaha karibu na jengo la Congress la nchi hiyo.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; fedheha ya kidemokrasia ya Marekani na mustakabali wa JCPOA
Jan 08, 2021 10:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa siku ya leo ya maadhimisho ya mapambano ya Dei 19 ya wananchi wa Qum dhidi ya utawala wa kiimla wa Shah ambapo ameashiria matukio ya hivi karibuni nchini Marekani, sharti la Iran la kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na uwepo wa kieneo na uwezo wa kiulinzi wa Iran.
-
Rouhani: Demokrasia ya nchi za Magharibi ni dhaifu na isiyo na misingi
Jan 07, 2021 08:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matukio ya hivi karibuni nchini Marekani ikiwa ni pamoja na kuvamiwa jengo la Bunge la Congress yanaashiria udhaifu na kutokuwa na msingi demokrasia ya nchi za Magharibi.
-
Marekani katika lindi la machafuko ya kisiasa
Jan 07, 2021 06:26Machafuko, fujo, vurugu, uporaji, ufyatuaji risasi, mauaji, ugaidi, mapinduzi, kukabiliana na mapinduzi; bali kwa kifupi; kashfa ya taifa, ndiyo maneno ambayo kila moja linafasiri matukio ya aibu yaliyotokea jana Jumatano, Januari 6, 2021 nchini Marekani ndani jengo la Congress