Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump adai kuchakachuliwa kura katika uchaguzi mdogo wa Georgia

    Trump adai kuchakachuliwa kura katika uchaguzi mdogo wa Georgia

    Jan 06, 2021 08:55

    Rais wa Marekani amekituhumu chama cha Democratic kuwa kimefanya udanganyifu katika uchaguzi mdogo wa Baraza la Sanate la nchi hiyo.

  • Kila sekunde 33 Mmarekani anapoteza maisha kutokana na COVID-19

    Kila sekunde 33 Mmarekani anapoteza maisha kutokana na COVID-19

    Jan 06, 2021 04:46

    Marekani imeweka rekodi mpya kwa idadi ya watu wanaofariki kutokana corona au COVID-19 kwa siku ambapo Jumanne watu 3,936 walipoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

  • Iraq yaishitaki Marekani kwa kutumia silaha zenye urani nchini humo

    Iraq yaishitaki Marekani kwa kutumia silaha zenye urani nchini humo

    Jan 05, 2021 10:49

    Mshauri wa masuala ya kisheria wa Bunge la Iraq amefungua mashtaka dhidi ya Marekani katika mahakkama ya Sweden kwa tuhuma za kukiuka mamlaka ya kujitawala ya Iraq na kutumia silaha zenye uranium dhidi ya nchi hiyo.

  • Mwakilishi wa Texas: Kutatokea mzozo mkubwa katika Seneti iwapo Warepublican watashindwa

    Mwakilishi wa Texas: Kutatokea mzozo mkubwa katika Seneti iwapo Warepublican watashindwa

    Jan 05, 2021 08:52

    Mwakilishi wa chama cha Republican katika Kongresi ya Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican ametahadharisha kuwa kutatokea mzozo mkubwa iwapo Warepublican wenzake watashindwa kupata wingi wa viti vya Baraza la Seneti.

  • Pelosi: Ushindi wa Biden utathibitishwa katika kikao cha Kongresi

    Pelosi: Ushindi wa Biden utathibitishwa katika kikao cha Kongresi

    Jan 04, 2021 22:37

    Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani amewaandikia barua wanachama wa chama cha Democratic na kusisitiza kuwa ushindi wa rais mteule wa nchi hiyo utathibitishwa katika kikao cha Kongresi.

  • Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jan 04, 2021 12:18

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Jan 04, 2021 07:33

    Januari 3 mwaka uliomalizika hivi majuzi wa 2020, kwa amri ya Rais Donald Trump, utawala wa kigaidi wa Marekani ulifanya jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani, Mkuu wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu wa Mkuu wa Harakati ya al Hashd al-Shaabi katika shambulio la anga lililofanywa jirani na uwanja wa ndege wa Baghdad nchini Iraq.

  • Ali Shamkhani: Chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran

    Ali Shamkhani: Chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran

    Jan 04, 2021 00:00

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran na hivyo kuachana na mkakati wake uliofeli wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kupinga Marekani kupasishwa bajeti ya Umoja wa Mataifa

    Kupinga Marekani kupasishwa bajeti ya Umoja wa Mataifa

    Jan 03, 2021 23:59

    Katika kipindi cha uongozi wake, Rais Donald Trump wa Marekani ameukosoa mara chungu nzima Umoja wa Mataifa pamoja na utendaji wake na hata kutishia kupunguza msaada wa nchi yake kwa asasi hiyo ya kimataifa.

  • Wakili wa Trump ataka makamu wa rais wa Marekani amiminiwe risasi kwa kosa la uhaini

    Wakili wa Trump ataka makamu wa rais wa Marekani amiminiwe risasi kwa kosa la uhaini

    Jan 02, 2021 23:21

    Wakili wa rais Donald Trump wa Marekani ametaka makamu wa rais Mike Pence akamatwe na kuhukumiwa kuuawa kwa kumiminiwa risasi kwa kosa la uhaini kwa sababu ya kulikataa shauri la madai la kumtaka atumie mamlaka yake kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyoonyesha kuwa Trump ameshindwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS