Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Watu 340,000 wamepoteza maisha kutokana na corona Marekani

    Watu 340,000 wamepoteza maisha kutokana na corona Marekani

    Dec 27, 2020 11:55

    Takwimu zinaoneysha kuwa watu karibu milioni 19 na nusu wameambukizwa COVID-19 au corona nchini Marekani huku wengine zaidi ya 339,992 wakipoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

  • 'Waliohudumu White House katika utawala wa Trump huenda watapata tabu kuajiriwa'

    'Waliohudumu White House katika utawala wa Trump huenda watapata tabu kuajiriwa'

    Dec 26, 2020 23:07

    Gazeti la The Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa, wafanyakazi wa Ikulu ya White House katika kipindi cha utawala wa Donald Trump yamkini wakakabiliwa na tatizo la kupata ajira.

  • Misafara mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani yashambuliwa nchini Iraq

    Misafara mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani yashambuliwa nchini Iraq

    Dec 25, 2020 23:11

    Duru za kiusalama nchini Iraq zimeripoti kuwa misafara mingine mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani imeshambuliwa katika maeneo ya Dhi Qar, Diwaniya na Babil.

  • Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani

    Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani

    Dec 25, 2020 23:09

    Matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran baada ya kuituhumu Tehran kwamba, ilihusika katika mashambulio ya hivi karibuni ya maroketi dhidi ya ubalozi wa Wsahington mjini Baghdad, yamekabiliwa na radiamali kali ya taifa hili.

  • Marekani kufungua ubalozi mdogo Sahara Magharibi, Morocco

    Marekani kufungua ubalozi mdogo Sahara Magharibi, Morocco

    Dec 25, 2020 09:41

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa ukiukaji wa sheria za kimataifa na maazimio ya Umoja wa Mataifa, Marekani imetangaza kuwa imeanzisha mchakato wa kufungua ubalozi mdogo katika eneo la Sahara Magharibi, huko kusini mwa Morocco.

  • Serikali ya Trump yaamua kuiuzia Saudia mabomu licha ya upinzani wa Wademocrat

    Serikali ya Trump yaamua kuiuzia Saudia mabomu licha ya upinzani wa Wademocrat

    Dec 24, 2020 09:17

    Serikali ya Marekani imeamua kutoa kibali cha kuruhusu kuiuzia Saudia mabomu; hatua ambayo imepingwa vikali na wabunge wa chama cha Democrat.

  • Msamaha wa Trump kwa watenda jinai za kivita wa Black Water; kuzifanya hazina thamani roho na maisha ya raia wasio Wamarekani

    Msamaha wa Trump kwa watenda jinai za kivita wa Black Water; kuzifanya hazina thamani roho na maisha ya raia wasio Wamarekani

    Dec 24, 2020 07:30

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye yuko kwenye siku za mwishomwisho za uongozi wake, ametoa msamaha kwa baadhi ya wahalifu wa kisiasa na watenda jinai za kivita.

  • Wabunge 150 wa Marekani wamtaka Biden airejeshe nchi hiyo katika JCPOA

    Wabunge 150 wa Marekani wamtaka Biden airejeshe nchi hiyo katika JCPOA

    Dec 24, 2020 04:44

    Wabunge 150 wa chama cha Democratic nchini Marekani wamemuandikia barua rais mteule wa nchi hiyo, Joe Biden wakiunga mkono azma yake ya kutaka kuirejeshe nchi hiyo kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA pasi na masharti yoyote mapya.

  • Safari ya Miller Afghanistan; juhudi za Marekani za kutaka kuendelea kuwepo kijeshi nchini humo

    Safari ya Miller Afghanistan; juhudi za Marekani za kutaka kuendelea kuwepo kijeshi nchini humo

    Dec 24, 2020 00:02

    Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani juzi Jumanne alielekea mji mkuu wa Afghanistan Kabul katika safari ya ghafla ambayo haikutangazwa kabla na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Muhammad Ashraf Ghani.

  • Marekani yaipendekezea Indonesia rushwa ya dola bilioni 2 ianzishe uhusiano na Israel

    Marekani yaipendekezea Indonesia rushwa ya dola bilioni 2 ianzishe uhusiano na Israel

    Dec 24, 2020 00:01

    Mkuu wa shirika la kimataifa la ustawi wa fedha la Marekani ameipendekezea Indonesia rushwa ya dola bilioni 2 ili ikubali kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS