-
Wasiwasi wa kuongezeka njaa na umasikini nchini Marekani
Dec 22, 2020 21:22Kusambaa virusi vya Corona nchini Marekani na mazingira yaliyosababishwa na utendaji mbovu wa serikali ya nchi hiyo ni mambo ambayo yamepelekea kuongezeka matatizo ya kijami na kiuchumi yanayoikabili nchi hiyo.
-
Harakati ya An-Nujabaa: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kambi ya jeshi
Dec 22, 2020 09:15Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya An-Nujabaa ya Iraq amesema, ubalozi wa Marekani mjini Baghdad si kituo cha kidiplomasia bali ni kambi ya jeshi la nchi hiyo.
-
Mashambulio ya maroketi dhidi ya eneo la kijani Baghdad; watekelezaji na malengo yao
Dec 22, 2020 06:53Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq Baghdad usiku wa kuamkia jana Jumatatu ulishambuliwa kwa akali na maroketi manane.
-
Hizbullah: Shahidi Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya njama za ubeberu wa Marekani
Dec 22, 2020 04:04Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, shahidi Qassem Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
-
Kuanza kuondoka askari wa jeshi la Marekani nchini Somalia; kujipanga upya kijeshi Washington barani Afrika
Dec 21, 2020 10:15Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Somalia kwa madhumuni ya kuwapeleka katika vituo vyake vingine mashariki mwa Afrika.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 20, 2020 07:59Licha ya kufeli kwa sera za vikwazo za Marekani dhidi ya Venezuela, lakini viongozi wa Washington wangali wamekumbatia siasa hizo za mashinikizo na kuendelea kutekeleza siasa hizo zilizoshindwa na kugonga ukuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerka ya Latini.
-
Marekani yaondoa askari wake Somalia na kuwapeleka katika nchi nyingine za Afrika
Dec 19, 2020 23:54Jeshi la Marekani limezindua operesheni ya kuwaondoa askari wake kutoka Somalia na kuwapeleka katika nchi nyingine za Afrika.
-
Yemen yasisitiza kukabiliana na ugaidi wa kimataifa unaoongozwa na Marekani
Dec 19, 2020 04:41Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Yemen amesisitiza kuwa, nchi hiyo itakabiliana na ugaidi wa kimataifa unaoongozwa na Marekani.
-
Familia za wanajeshi wa Marekani zinahitajia misaada ya chakula
Dec 18, 2020 02:18Maafisa wa kijeshi wa Marekani wanaeleza kuwa, familia za wanajeshi nchini humo zinahitajia misaada ya chakula kutokana na kuenea maambukizi ya virusi vya corona.
-
Zarif: Vikwazo vya Washington vimewadhuru Wamarekani wenyewe
Dec 18, 2020 00:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera ya vikwazo ya Washington imekuwa na madhara makubwa hata kwa wananchi wa Marekani wenyewe na kampuni zao na hivyo kusababisha ukosefu wa ajira miongoni mwa Wamarekani.