Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran yaitaka Marekani iondoe askari wake vamizi nchini Syria

    Iran yaitaka Marekani iondoe askari wake vamizi nchini Syria

    Dec 17, 2020 04:01

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vamizi vya nchi ajinabi vikiweko vya Marekani vinapaswa kuondoka nchini Syria mara moja.

  • Marekani yaweka rekodi mpya ya vifo vya Covid-19

    Marekani yaweka rekodi mpya ya vifo vya Covid-19

    Dec 17, 2020 03:59

    Marekani imeweka rekodi mpya ya kutisha ya vifo na maamukizi ya ugonjwa wa Covid-19, ambapo watu 3,700 wameaga dunia kwa maradhi hayo ya kuambukiza, huku kesi mpya 250,000 zikisajiliwa ndani ya masaa 24 jana Jumatano.

  • Ushindi wa Biden katika uchaguzi wa rais Marekani waidhinishwa na  Wajumbe wa Uchaguzi

    Ushindi wa Biden katika uchaguzi wa rais Marekani waidhinishwa na Wajumbe wa Uchaguzi

    Dec 16, 2020 07:37

    Hatimaye, baada ya wiki kadhaa za mvutano wa kisiasa na kisheria nchini Marekani, Wajumbe wa Uchaguzi (Electoral College) wamempigia kura kwa wingi mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden na hivyo sasa atakuwa rais wa Marekani.

  • Baada ya kujidhalilisha kwa Wazayuni, Sudan yatolewa katika orodha ya magaidi ya Marekani

    Baada ya kujidhalilisha kwa Wazayuni, Sudan yatolewa katika orodha ya magaidi ya Marekani

    Dec 14, 2020 23:01

    Baada ya serikali ya Sudan kujidhalilisha mbele ya Wazayuni kwa kutangaza uhusiano wa kawaida na watenda jinai hao, serikali ya Marekani imetangaza kuitoa Khartoum katika orodha ya kile kinachodaiwa na Washington kuwa eti ni nchi zinazounga mkono ugaidi.

  • Onyo la mbunge wa Marekani kuhusu hatari ya kugawika vipande vipande nchi hiyo

    Onyo la mbunge wa Marekani kuhusu hatari ya kugawika vipande vipande nchi hiyo

    Dec 14, 2020 23:00

    Mbunge mmoja wa zamani wa Marekani ameonya kwamba, suala la kugawika vipande vipande nchi hiyo limepata nguvu sana hivi sasa.

  • Askari wa jeshi la kiharamia la Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria

    Askari wa jeshi la kiharamia la Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria

    Dec 13, 2020 10:33

    Kwa mara nyingine, askari wa jeshi la Marekani wamepora makumi ya malori ya mafuta ya Syria na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.

  • Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais

    Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais

    Dec 13, 2020 07:18

    Baada ya kupita zaidi ya siku 40 tokea ufanyike uchaguzi wa rais nchini Marekani, Rais Donald Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican amekuwa akitaka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kuwa mshindani wake wa chama cha upinzani cha Democrat Joe Biden ameshinda, yabatilishwe. Trump hadi sasa amekataa kukubali kushindwa.

  • Hatua za Marekani katika vita dhidi ya Yemen; kuunga mkono vita na kuiwekea vikwazo Ansarullah

    Hatua za Marekani katika vita dhidi ya Yemen; kuunga mkono vita na kuiwekea vikwazo Ansarullah

    Dec 13, 2020 02:04

    Katika kuendelea na hatua zake za kiuhasama dhidi ya Sana'a, serikali ya Marekani imewawekea vikwazo viongozi watano wa Yemen.

  • Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Dec 12, 2020 08:06

    Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.

  • Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati

    Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati

    Dec 10, 2020 23:26

    Marekani daima imekuwa ikitumia porojo kulioonesha eneo la Asia Magharibi kwamba, linakabiliwa na ukosefu wa amani na kueneza chuki dhidi ya Iran sambamba na kuionyesa mbele ya macho ya mataifa ya eneo hili kwamba, ni tishio ili kwa njia hiyo ijiandalie uwanja wa kuziuzia silaha nchi za Ukanda wa kusini mwa Ghuba ya Uajemi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS