Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Obama: Siasa zangu ndizo zitakazoendelezwa na Joe Biden

    Obama: Siasa zangu ndizo zitakazoendelezwa na Joe Biden

    Dec 10, 2020 23:22

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amekiri kwamba siasa za serikali ya Joe Biden, rais mteule wa nchi hiyo zitakuwa zile zile alizokuwa nazo yeye wakati wa uongozi wake.

  • Madai ya uongo ya Marekani kuhusu kuondolewa dawa na vifaa vya matibabu katika vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Madai ya uongo ya Marekani kuhusu kuondolewa dawa na vifaa vya matibabu katika vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Dec 10, 2020 13:00

    Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA mwano Mei 2018, nchi hiyo imeiwekea Iran vikwazo vikali zaidi chini ya siasa za 'mashinikizo ya juu kabisa', na tokea wakati huo imekuwa ikiongeza vikwazo hivyo visivyo vya kibinadamu bila kujali kuenea nchini na duniani virusi vya maradhi hatari ya corona.

  • Amnesty yaiomba Marekani iache kuiuzia silaha UAE kwa sababu itazitumia kuulia raia

    Amnesty yaiomba Marekani iache kuiuzia silaha UAE kwa sababu itazitumia kuulia raia

    Dec 08, 2020 23:07

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Msamaha Duniani, Amnesty International limeiomba Marekani isitishe uuzaji silaha kwa Imarati kwa sababu itazitumia silaha hizo kuulia raia wasio na hatia.

  • Jumanne, Desemba 08, 2020

    Jumanne, Desemba 08, 2020

    Dec 07, 2020 23:33

    Leo ni Jumanne tarehe 22 Mfunguo Saba Rabiuthani 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Desemba mwaka 2020 Miladia

  • Balozi wa Iran UN: Ukatili wa Marekani katika zama za COVID-19 utakumbukwa katika historia

    Balozi wa Iran UN: Ukatili wa Marekani katika zama za COVID-19 utakumbukwa katika historia

    Dec 07, 2020 03:36

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Iran inafahamu vyema namna ambavyo vikwazo vya Marekani vinaathiri uwezo wa nchi katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.

  • Mpwa wa Trump: Jela ndiko anakostahili kupelekwa Trump baada ya kuondoka White House

    Mpwa wa Trump: Jela ndiko anakostahili kupelekwa Trump baada ya kuondoka White House

    Dec 06, 2020 03:46

    Mpwa wa rais wa Marekani Donald Trump amesema, rais huyo ni mhalifu, katili na haini; na kwamba jela ndipo mahali anapostahili kupelekwa baada ya kuondoka Ikulu ya White House.

  • Binti wa Donlad Trump ashutumiwa kwa kufanya utapeli

    Binti wa Donlad Trump ashutumiwa kwa kufanya utapeli

    Dec 05, 2020 21:13

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Washington amesema kuwa, matamshi yaliyotolewa na Ivanka Trump, binti wa rais wa Marekani, Donald Trump akijaribu kumvua baba yake na tuhuma za fedha, ni ya kitapeli.

  • Ombi kwa Biden kwa ajili ya kuhitimisha ushiriki wa Marekani katika vita vya Yemen

    Ombi kwa Biden kwa ajili ya kuhitimisha ushiriki wa Marekani katika vita vya Yemen

    Dec 05, 2020 21:13

    Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zina nafasi muhimu katika vita huko Yemen ambavyo viilanzishwa tangu mwezi Machi mwaka 2015 na muungano vamizi chini ya uongozi wa Saudi Arabia kutokana na hatua yao ya kuzipatia Saudia na Imarati misaada mbalimbali ya kilojistiki, kiintelijensia na kijeshi. Kitendo hicho kimekosolewa vikali na jumuiya mbalimbali za kutetea haki za binadamu.

  • Oman yapinga Ansarullah ya Yemen kuwekwa kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Oman yapinga Ansarullah ya Yemen kuwekwa kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Dec 05, 2020 09:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amepinga pendekezo la serikali ya Marekani la kuiweka harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuiita kundi la kigaidi moja ya pande kuu zinazopigana nchini Yemen hakusaidii kutatua mgogoro wa nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo visivyo vya kibinadamu vya Marekani dhidi ya Iran

    Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo visivyo vya kibinadamu vya Marekani dhidi ya Iran

    Dec 05, 2020 00:50

    Baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran mashuhuri kama JCPOA mnamo Mei 2018, Marekani ilianza kutekeleza vikwazo vikali zaidi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kupitia siasa zake za kutoa mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Tehran, na kuendelea kuzidisha taratibu vikwazo hivyo vilivyotajwa kuwa vya kulemaza, hata katika kipindi kigumu zaidi cha kuenea virusi vya corona duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS