Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rouhani: tuhuma na mahesabu ghalati ya Saddam zinakaririwa leo na Marekani

    Rouhani: tuhuma na mahesabu ghalati ya Saddam zinakaririwa leo na Marekani

    Sep 23, 2020 09:56

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya Iran na kusema: tuhuma na mahesabu ghalati ya viongozi wa White House yanafanana na hatua zilizochukuliwa na utawala wa Saddam na kupelekea kuangamizwa utawala huo.

  • Balozi wa Iran UN: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya binadamu

    Balozi wa Iran UN: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya binadamu

    Sep 23, 2020 03:49

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa iliyoko mjini Geneva Uswisi amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran ni jinai dhidi ya binadamu.

  • Russia kuendelea kushirikiana kijeshi na Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Russia kuendelea kushirikiana kijeshi na Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Sep 22, 2020 22:04

    Seneta mmoja wa Russia amesema nchi hiyo itaendelea kuwa na ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kijeshi licha ya uhasama, vikwazo na mashinikizo ya Marekani.

  • Kushadidi upinzani dhidi ya safari ya Mike Pompeo katika eneo la Amerika ya Latini

    Kushadidi upinzani dhidi ya safari ya Mike Pompeo katika eneo la Amerika ya Latini

    Sep 22, 2020 06:57

    Safari ya Mike Pompeo, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani katika nchi nne za Amerika ya Latini, licha ya kuwa imefanyika kwa ajili ya kuongeza mbinyo na mashinikizo dhidi ya Venezuela, lakini imekabiliwa na malalamiko na upinzani wa makundi mengi ya wanaharakati wa amani na vyama mbalimbali katika mataifa hayo.

  • Pelosi: Uzembe wa serikali ya Trump katika kupambana na corona umesababisha vifo vya maelfu ya watu

    Pelosi: Uzembe wa serikali ya Trump katika kupambana na corona umesababisha vifo vya maelfu ya watu

    Sep 22, 2020 04:55

    Spika wa Kongresi ya Marekani kwa mara nyingine tena amekosoa utendaji wa serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika kupambana na virusi vya corona.

  • Kiongozi wa Ansarullah: Mapinduzi ya Septemba 21 ya wananchi wa Yemen yalikuwa mwanzo wa kuondokana na giza la huko nyuma

    Kiongozi wa Ansarullah: Mapinduzi ya Septemba 21 ya wananchi wa Yemen yalikuwa mwanzo wa kuondokana na giza la huko nyuma

    Sep 22, 2020 04:13

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa mapinduzi ya tarehe 21 Septemba nchini humo yalikuwa mwanzo wa kupatikana njia ya kujiondoa katika giza la huko nyuma na hatua ya kujenga mustakbali kwa mujibu wa thamani na misingi ya watu wa Yemen.

  • Msimamo mmoja wa kundi la 4+1 mbele ya madai hewa ya Marekani kuhusu Iran

    Msimamo mmoja wa kundi la 4+1 mbele ya madai hewa ya Marekani kuhusu Iran

    Sep 21, 2020 07:03

    Licha ya Marekani kutoa madai hewa ya kuanza kutekelezwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran kuanzia jana Jumapili Septemba 20, 2020 vikiwemo vikwazo vya silaha, lakini mataifa ya dunia yamepinga madai hayo ya Washington na yamechukua msimamo imara kiasi kwamba inaonekana kama vile hakuna mabadiliko yoyote yaliyotokea.

  • Rouhani: Kutengwa zaidi, matunda ya mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran

    Rouhani: Kutengwa zaidi, matunda ya mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran

    Sep 20, 2020 23:47

    Rais Hassan Rouhani ameashiria kuhusu kugonga mwamba njama za Marekani dhidi ya taifa la Iran na kueleza bayana kuwa: Hatua za Washington mkabala wa Iran hazijakuwa na matokeo mengine isipokuwa kuifanya nchi hiyo itengwe zaidi katika uga wa kimataifa.

  • Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki

    Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki

    Sep 20, 2020 23:46

    Baadhi ya duru zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi Mohammad bin Zayed amefanya mashauriano na Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon juu ya mpango wa kukihamishia Imarati kituo cha anga cha jeshi la Marekani cha Incirlik kilichoko nchini Uturuki.

  • Khatibazadeh: Marekani inajua madai yake ya vikwazo dhidi ya Iran ni hewa

    Khatibazadeh: Marekani inajua madai yake ya vikwazo dhidi ya Iran ni hewa

    Sep 20, 2020 22:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema tangazo la Marekani kwamba vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran ambavyo vilikuwa vimeondolewa eti vimerejeshwa upya ni madai hewa, yasio na athari yoyote na yaliyo kinyume cha sheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS