-
Ripoti:Trump alijigamba kumkingia kifua Bin Salman baada ya mauaji ya Khashoggi
Sep 11, 2020 02:35Rais Donald Trump wa Marekani alijisifu na kuona fahari kumkingia kifua Muhammad bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, baada ya mauaji ya kikatili ya Jamal Khashoggi, aliyekuwa mwandishi habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud mwaka 2018.
-
Ijumaa tarehe 11 Septemba 2020
Sep 10, 2020 22:06Leo ni Ijumaa tarehe 22 Muharram 1442 Hijria sawa na tarehe 11 Septemba 2020.
-
Biden: Trump amewasaliti Wamarekani kwa kuwaficha hatari ya corona
Sep 10, 2020 01:42Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kukiri kwamba, "alidogesha" hatari na tishio la virusi vya corona imekabiliwa na hujuma kali ya mgombea wa chama cha Democratic katika uchaguzi ujao wa rais, Joe Biden.
-
Watu 10 wauawa katika ufyatuaji risasi katika mji wa Chicago nchini Marekani
Sep 09, 2020 20:43Watu 10 wameuawa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika mji wa Chicago kwenye jimbo la Illinois nchini Marekani.
-
Zaidi ya nusu milioni ya watoto wa Marekani wamekumbwa na COVID-19
Sep 09, 2020 07:07Kituo maalumu cha kushughulikia watoto nchini Marekani kimetangaza kuwa, zaidi ya nusu milioni ya watoto wa nchi hiyo wamekumbwa na kirusi cha corona.
-
Makumi ya mamilioni ya watu wamekuwa wakimbizi duniani kwa sababu ya vita vya Marekani
Sep 08, 2020 22:01Ripoti mpya inaonesha kuwa makumi ya mamilioni ya watu wamekuwa wakimbizi katika maeneo mbalimbali ya dunia kwa sababu ya vita vya Marekani katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Asilimia 79 ya wananchi wa Marekani hawana imani na chanjo ya corona
Sep 08, 2020 08:08Chunguzi za maoni zilizofanywa hivi karibuni nchini Marekani zinaonyesha kuwa Wamarekani wengi hawana imani na chanjo ya corona. Uchunguzi huo unaonesha kuwa asilimia 79 ya watu nchini Marekani wanasema kuwa hana imani na chanjo ya virusi vya corona.
-
Migongano katika yasemwayo na yatendwayo na utawala wa Aal Saud kuhusu suala la kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 08, 2020 02:45Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amesema katika mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Rais Donald Trump wa Marekani kwamba kuundwa nchi huru ya Palestina ndilo sharti la nchi yake kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanajeshi wawili wa serikali wauawa, afisa wa jeshi la Marekani ajeruhiwa Somalia
Sep 07, 2020 10:02Wanajeshi wawili wa kikosi maalumu cha Somalia wameuawa na afisa mmoja wa jeshi la Marekani amejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea leo Jumatatu nje ya kambi ya kijeshi ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel
Sep 06, 2020 07:12Serikali ya Trump muda wote imekuwa ikijionesha ni mtumishi asiye na doa wa malengo ya utawala wa Israel na imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kama kuzilazimisha nchi za Kiarabu na za Waislamu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo wa Kizayuni. Hata hivyo baadhi ya nchi kama Sudan zimeamua kupinga na pia kukabiliana na njama hizo.