-
Hamas yakanusha madai ya kukamatwa wanachama wake 2 na Marekani
Sep 06, 2020 03:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekadhibisha vikali madai kwamba Marekani imewatia mbaroni watu wawili wenye mfungamano na harakati hiyo.
-
Makabiliano ya Marekani na China Mashariki mwa Asia
Sep 05, 2020 06:38Waziri wa Mambo ya Nje wa China amewatolea wito wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN) kuendelea kupinga uingiliaji wa Marekani katika eneo hilo.
-
Rais wa Baraza Kuu la UN atofautiana na Trump kuhusu chanjo ya corona
Sep 05, 2020 06:18Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 inapasa wapewe watu wote wanaoihitaji, na kwamba kuna udharura kwa nchi zote kushirikishwa katika mchakato wa kutengeneza na kugawa chanjo yenyewe.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya sekta ya Petrokemikali ya Iran, kielelezo cha kuishiwa na kupumbaa Washington
Sep 04, 2020 06:52Katika hatua za kutaka kuiburuza na kuilazimisha Iran isalimu amri kwa matakwa yake haramu na ya kinyume cha sheria, Serikali ya Trump iliamua kuanzisha vita vya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu; na baada ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mnamo mwezi Mei 2018, ilianza kuiwekea Tehran vikwazo vikali zaidi kuwahi kushuhudiwa.
-
Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Sep 04, 2020 02:52Umoja wa Ulaya na Marekani zimekuwa zikiishinikiza Russia kupitia njia ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Moscow na kutumia madai ya kutetea haki za binadamu.
-
Baada ya vitisho, Marekani yatangaza tarehe ya kujiondoa WHO
Sep 04, 2020 02:40Miezi michache baada ya Marekani kuamua kulikatia misaada yote ya kifedha Shirika la Afya Duniani kwa madai kwamba linadhibitiwa na China, sasa utawala wa Donald Trump umeenda mbali zaidi ya kuainisha tarehe ya kujiondoa WHO.
-
EU yaiunga mkono Mahakama ya Kimataifa ya Jinai mkabala wa Marekani
Sep 03, 2020 22:47Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa unaiunga mkono Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) baada ya serikali ya Marekani kuwawekea vikwazo maafisa wawili wa ngazi za juu wa taasisi hiyo ya kimataifa.
-
Vikwazo vya Marekani dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Sep 03, 2020 22:18Katika kipindi cha utawala wa Donald Trump nchini Marekani serikali ya Washington imechukua msimamo hasi na wa kihasama dhidi ya taasisi na jumuiya za kimataifa.
-
"Vipigo dhidi ya Marekani katika Baraza la Usalama vimetokana na kusimama kidete Wairani"
Sep 03, 2020 22:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushindwa mtawalia njama za Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kumetokana na kusimama kidete taifa hili.
-
Sanders akosoa ubaguzi na dhulma za kiuchumi nchini Marekani
Sep 02, 2020 23:39Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amekosoa vikali dhulma na ubaguzi mkubwa wa kiuchumi unaoshuhudiwa nchini humo na kusema kuwa, utajiri wa watu watatu tu wa Marekani unazidi utajiri wa nusu ya jamii ya watu wa nchi hiyo.