Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • 'Vyama vya Democrat na Republican Marekani vinajali zaidi manufaa yao badala ya wananchi'

    'Vyama vya Democrat na Republican Marekani vinajali zaidi manufaa yao badala ya wananchi'

    Sep 02, 2020 10:25

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa, Wamarekani wengi wanahisi kuwa, vyama vyote viwili vya nchi hiyo vya Democrat na Republican vinatanguiliza mbele manufaa ya kichama kuliko ya wananchi.

  • Araqchi: Wanachama wa JCPOA hawaitambui Marekani kama mshirika wao

    Araqchi: Wanachama wa JCPOA hawaitambui Marekani kama mshirika wao

    Sep 01, 2020 23:01

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema nchi zilizosalia katika makubaliano ya nyuklia ya Iran haziitambui Marekani kuwa mwanachama au mshirika wa mapatano hayo ya kimataifa.

  • Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington

    Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington

    Sep 01, 2020 22:12

    Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kuibuka na kuenea makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la kigaidi la Daesh tangu kuanza mgogoro nchini Syria mwaka 2011.

  • Marekani yalipigia veto azimio jipya la UN kuhusu magaidi wa kitakfiri

    Marekani yalipigia veto azimio jipya la UN kuhusu magaidi wa kitakfiri

    Sep 01, 2020 08:20

    Marekani imelipigia kura ya veto azimio jipya la Umoja wa Mataifa kuhusu magaidi wa kitakfiri katika kuendelea kushtadi hitilafu kati ya Washington na wanachama wengine wa Baraza la Usalama la umoja huo.

  • Rais Rouhani: Mitazamo ya Iran na Niger katika masuala ya kimataifa inafanana

    Rais Rouhani: Mitazamo ya Iran na Niger katika masuala ya kimataifa inafanana

    Sep 01, 2020 03:18

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Niger kuwa nchi mbili hizi zimekuwa na ushirikiano amilifu na mitazamo inayofanana katika masuala na taasisi za kimataifa na kubainisha kuwa, nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika bila shaka itakabiliana na uchukuaji wa maamuzi ya upande mmoja wa Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Iran: Marekani haina haki wala kibali cha kutumia

    Iran: Marekani haina haki wala kibali cha kutumia "Snapnack Mechanism"

    Sep 01, 2020 03:16

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani haina haki, idhini wala kibali cha kutumia utaratibu wa kurejesha upya vikwazo ilivyokuwa imewekewa Iran huko nyuma na UN unaofahamika kama 'Snapback Mechanism."

  • Ngao ya makombora ya Syria yazima mashambulizi ya anga ya  Israel

    Ngao ya makombora ya Syria yazima mashambulizi ya anga ya Israel

    Sep 01, 2020 03:14

    Jeshi la Syria limetangaza kuwa, mfumo wake wa ulinzi wa anga umefanikiwa kutungua makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Damascus.

  • Congress: Trump ndiye sababu ya kuongezeka machafuko nchini Marekani

    Congress: Trump ndiye sababu ya kuongezeka machafuko nchini Marekani

    Aug 31, 2020 22:02

    Mkuu wa Kamati ya Kutoa Taarifa ya Baraza la Congress la Marekani amemlaumu vikali rais wa nchi hiyo Donald Trump na kusema kuwa, vitendo vya kichochezi vya rais huyo ndiyo sababu ya kuzuka na kuongezeka machafuko nchini Marekani.

  • Iran: Magaidi wa MKO wanapewa hifadhi na US na EU licha ya kuua maelfu ya Wairani

    Iran: Magaidi wa MKO wanapewa hifadhi na US na EU licha ya kuua maelfu ya Wairani

    Aug 30, 2020 06:32

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani zinawapa hifadhi wanachama wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) licha ya genge hilo kuua kikatili maelfu ya Wairani.

  • Maandamano ya 'Risasi 7, Siku 7' yafanyika Kenosha, Marekani kumlilia raia mweusi Jacob Blake

    Maandamano ya 'Risasi 7, Siku 7' yafanyika Kenosha, Marekani kumlilia raia mweusi Jacob Blake

    Aug 30, 2020 03:46

    Zaidi ya Wamarekani elfu moja wameandamana katika mji wa Kenosha kulalamikia ukatili unaofanywa na polisi wa Marekani, ikiwa imepita takribani wiki moja tangu askari mmoja alipompiga risasi saba mgongoni Jacob Blake kijana Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 29 na kumfanya apooze kuanzia kiunoni hadi miguuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS