-
Trump asisitiza kuwakandamiza waandamanaji wanaolalamikia ubaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 02, 2020 01:54Ubaguzi wa rangi na matumizi ya mabavu dhidi ya wale wanaotajwa kuwa watu wa rangi nchini Marekani na hasa weusi, ni jambo lenye historia ndefu nchini humo. Licha ya mapambano ya muda mrefu ya weusi kwa ajili ya kutetea haki zao, lakini wangali ni wahanga wakubwa wa ubaguzi na matumizi ya mabavu na hasa kutoka kwa polisi ya nchi hiyo.
-
Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani yasambaa duniani kote
Jun 01, 2020 05:55Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe kumuuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika sambamba na kuendelea kushuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani, lakini pia yamesambaa na kuenea kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani hususan za Ulaya.
-
Watunisia wapinga kuwepo kijeshi Marekani nchini kwao
Jun 01, 2020 03:16Hatua ya vyama mbalimbali nchini Tunisia kupinga uwepo wa wanajeshi wa Marekani nchini humo imeipelekea washington iachane na msimamo wake katika uwanja huo.
-
Iyad na George, wahanga wawili wa ubaguzi wa Israel na Marekani
Jun 01, 2020 02:42Matukio katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na Marekani yanaonyesha kilele cha ubaguzi katika utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.
-
Polisi ya Marekani yaendeleza mabavu dhidi ya waandishi habari
May 31, 2020 23:17Wafanyakazi wawili wa shirika la habari la Reuters wamepigwa risasi wakati wakiwa kazini wakichukua picha kuhusu maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe wa nchini Marekani ambaye hivi karibuni alimuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika.
-
Maandamano, ghasia zashtadi Marekani licha ya 'kafyu' na kamatakamata
May 31, 2020 07:16Licha ya agizo la kutotoka nje usiku na kukamatwa mamia ya waandamanaji, lakini maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe kumuuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika, yameendelea kushuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani.
-
"Trump! Funga domo lako! Acha kuchochea moto wa ubaguzi! Acha kiu yako ya kumwaga damu"
May 31, 2020 03:42Mkuu wa Kamati ya Habari ya Baraza la Wawakilishi la Marekani ametoa onyo kali kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump akimtaka afumbe domo lake, aache kuchochea moto wa ubaguzi wa rangi na kumwaga damu za watu wasio na hatia.
-
Zarif: Umefika wakati wa dunia kuungana katika kukabiliana na ubaguzi wa rangi
May 31, 2020 00:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa Twitter akiashiria mauaji ya kusikitisha yaliyofanywa na polisi ya Marekani dhidi ya Mmarekani mweusi ambaye hakuwa na silaha ya aina yoyote katika mji wa Minneapolis na kusema: Umewadia wakati wa dunia kuungana kwa ajili ya kukabiliana na ubaguzi wa rangi.
-
India: Madai ya kufanyika mazungumzo ya simu kati ya Narendra Modi na Trump hayana msingi
May 31, 2020 00:11Serikali ya India imeyataja kuwa ya uongo madai ya Rais Donld Trump wa Marekani kwamba amefanya mazungumzo ya simu na Narendra Modi, Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuhusiana na masuala ya mzozo wa mpaka kati yake na China.
-
China yalaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia nchi hiyo wanafunzi wa China
May 30, 2020 23:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia wanafunzi wa China katika nchi hiyo.