-
Marekani, muhimili wa muqawama na mzingiro wa bonde la Shi'b Abi Twalib
May 10, 2020 03:45Ijumaa iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon aliufananisha mwenendo wa Marekani katika kukabiliana na muqawama kuwa ni sawa na mwenendo ule ule wa viongozi wa Kiquraish dhidi ya Mtume Muhammad (saw) katika mzingiro wa (bonde la) Shi'b Abi Twalib.
-
Janga la COVID-19 na uvurugaji wa Marekani katika Baraza la Usalama
May 10, 2020 02:58Katika hali ambayo Tunisia na Ufaransa zimekuwa zikijitahidi kuzikinaisha Marekani na China ziafiki rasimu ya azimio kuhusu janga la COVID-19 ambayo imekuwa ikijadiliwa kwa wiki kadhaa, Marekani imekataa kuiunga mkono rasimi huyo na hivyo kuzuia ipigiwe kura katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Russia: Marekani ilifanya kosa la kistratijia kujiondoa JCPOA
May 09, 2020 23:42Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa viongozi wa Marekani hawana uwezo wa kuandaa mazingira ya kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran.
-
Utafiti: Wamarekani 150,000 katika hatari ya kujiua kutokana athari za janga la corona
May 09, 2020 08:09Utafiti mpya unaonyesha kuwa huenda makumi ya maelfu ya wananchi wa Marekani wataaga dunia kwa kunywa pombe kupita kiasi, kubugia dozi zilizopitiliza za mihadarati au kujiua kutoka na msongo wa mawazo uliosababishwa na janga la corona.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaitaka Marekani ihitimishe hatua zake za upande mmoja
May 08, 2020 07:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuhitimisha hatua zake za upande mmoja na zenye madhila.
-
Spika Nancy Pelosi: Njaa na umasikini vinaitesa Marekani
May 08, 2020 06:59Spika wa Bunge la Wawakilishi nchini Marekani amekiri kwamba, baada ya virusi vya Corona kuenea nchini humo, hivi sasa nchi hiyo inakabiliwa na ongezeko kubwa la umasikini na njaa.
-
Marekani yaondoa nchini Saudia mifumo yake ya makombora ya Patriot
May 08, 2020 03:47Marekani imeanza kuondoa katika ardhi ya Saudi Arabia mifumo yake ya makombora ya Patriot na zana zingine za kijeshi, ikiwa ni sehemu ya mkakati mpana wa kupunguza uungaji mkono wake wa kijeshi kwa utawala huo wa kifalme.
-
Kuongezeka pakubwa ukosefu wa usalama wa chakula Marekani kufuatia kuenea virusi vya Corona
May 07, 2020 21:53Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na kitivo kimoja nchini Marekani, sambamba na kuenea virusi vya Corona na kuibuka mgogoro wa kiuchumi, uhaba mkubwa wa usalama wa chakula katika familia nyingi za Marekani umepanda zaidi.
-
Biden: Si sahihi kuiruhusu Israel iuteke Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
May 07, 2020 08:47Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats amesema kuwa, si sahihi kuiruhusu Israel iuteke Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuuingiza katika ardhi nyingine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Corona yasababisha zaidi ya watu milioni 20 kupoteza ajira nchini Marekani
May 07, 2020 08:27Zaidi ya watu milioni 20 wamepoteza ajira kikamilifu nchini Marekani kutokana na janga la corona.