Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Amnesty: Marekani imepunguza idadi ya raia iliyowaua katika operesheni za kijeshi

    Amnesty: Marekani imepunguza idadi ya raia iliyowaua katika operesheni za kijeshi

    May 07, 2020 03:16

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetofautiana na idadi iliyotangazwa na Washington ya raia waliouawa katika operesheni za kijeshi za Marekani mwaka jana 2019 katika nchi mbali mbali duniani.

  • Rouhani: Iran haitakubali ukiukwaji wa azimio 2231

    Rouhani: Iran haitakubali ukiukwaji wa azimio 2231

    May 06, 2020 06:46

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran katu haitakubali ukiukwaji wowote wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Ameongeza kuwa: "Ni haki isiyopingika ya Iran kuwa, vikwazo vya silaha viondolewe dhidi yake hivi karibuni katika fremu ya azimio hilo."

  • Wanadiplomasia wa EU: Marekani haina haki ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Wanadiplomasia wa EU: Marekani haina haki ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    May 06, 2020 03:31

    Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamesema kwa kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran, Marekani ilipoteza haki yake ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.

  • Iran yasema madai ya Marekani dhidi yake ni 'mzaha mchungu'

    Iran yasema madai ya Marekani dhidi yake ni 'mzaha mchungu'

    May 06, 2020 03:28

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria juu ya uhusiano madhubuti baina ya taifa hili na Afghanistan, imekosoa vikali madai ya Marekani dhidi ya Tehran kuhusu tukio la kupoteza maisha raia wa Kiafghani katika eneo la Herat, mpakani mwa nchi mbili hizi.

  • Corona na ongezeko la wazee kufariki dunia mjini New York

    Corona na ongezeko la wazee kufariki dunia mjini New York

    May 05, 2020 23:55

    Viongozi wa jimbo la New York nchini Marekani wameelezea kufariki dunia watu wengine 1,700 katika vituo vya kuwalea wazee ndani ya jimbo hilo kutokana na virusi vya Corona, idadi ambayo ilikuwa haijasajiliwa.

  • Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran

    Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran

    May 05, 2020 23:45

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Marekani kuwa iko tayari kuisadia Iran kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) na kusema: "Iwapo Wamarekani ni wakweli, njia pekee ni kuondoa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria dhidi ya Iran."

  • Marekani yawaliwaza kwa medali askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi la Iran

    Marekani yawaliwaza kwa medali askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi la Iran

    May 05, 2020 03:34

    Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani imewatunuku medali za heshima makumi ya askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi kali la Iran la mapema mwaka huu nchini Iraq.

  • Vifo vya corona duniani vyapindukia robo milioni, Marekani ingali inaongoza

    Vifo vya corona duniani vyapindukia robo milioni, Marekani ingali inaongoza

    May 05, 2020 03:29

    Takwimu mpya za Chuo Kikuu cha Johns Hopkins zinaonesha kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona kote duniani ni zaidi ya robo milioni.

  • Venezuela yawakamata mamluki wa Marekani waliotaka kufanya mapinduzi

    Venezuela yawakamata mamluki wa Marekani waliotaka kufanya mapinduzi

    May 05, 2020 03:27

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amesema vyombo vya usalama vya nchi hiyo vimewatia mbaroni 'magaidi' 13 wakiwemo mamluki wawili wa Kimarekani wanaohusishwa na jaribio lililotibuliwa la kujipenyeza nchini humo na kufanya mapinduzi.

  • Trump: Maafisa wa intelijensia hawakusema kama kirusi cha corona ni hatari

    Trump: Maafisa wa intelijensia hawakusema kama kirusi cha corona ni hatari

    May 04, 2020 09:31

    Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa, hakupewa taarifa za tahadhari na vyombo vya intelijensia vya nchi hiyo kuhusu mripuko wa virusi vya corona na akaongeza kwamba, maafisa wa intelijensia hawakusema kama kirusi cha corona ni hatari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS