Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump atoa utabiri mpya kuhusu Corona, asema Wamarekani laki moja watafariki hivi karibuni

    Trump atoa utabiri mpya kuhusu Corona, asema Wamarekani laki moja watafariki hivi karibuni

    May 04, 2020 03:42

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa kwa akali watu laki moja nchini Marekani wanatazamiwa kufariki dunia kutokana na virusi vya Corona.

  • Kuendelea mgogoro wa Corona na sisitizo la Marekani la kuiadhibu China

    Kuendelea mgogoro wa Corona na sisitizo la Marekani la kuiadhibu China

    May 03, 2020 21:52

    Sambamba na kuendelea mgogoro wa Corona na kuongezeka idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo nchini Marekani, Rais Donald Trump anaendelea kufanya njama za kuitwisha mzigo wa suala hilo serikali ya China ili kwa njia hiyo aweze kusalimika na ukosoaji pamoja na mashinikizo ya kijamii kutokana na utendaji mbovu wa serikali yake katika kukabiliana na Corona.

  • Kuendelea hitilafu za Seoul na Washington juu ya ongezeko la gharama za askari wa Marekani walio Korea Kusini

    Kuendelea hitilafu za Seoul na Washington juu ya ongezeko la gharama za askari wa Marekani walio Korea Kusini

    May 03, 2020 04:50

    Ofisi ya Rais wa Korea Kusini imesisitiza kuwa hadi sasa hakujafikiwa mapatano yoyote kuhusiana na ongezeko la fedha za kudhamini kuendelea kuwepo askari wa Marekani nchini humo.

  • Shamkhani: JCPOA itakufa kikamilifu iwapo vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vitarefushwa

    Shamkhani: JCPOA itakufa kikamilifu iwapo vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vitarefushwa

    May 03, 2020 03:46

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameonya kuwa, iwapo azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litakiukwa kwa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran, basi makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatakufa daima.

  • Iran: Marekani haina misingi ya kisheria kujifanya mshiriki wa JCPOA

    Iran: Marekani haina misingi ya kisheria kujifanya mshiriki wa JCPOA

    May 03, 2020 03:41

    Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Taasisi za Kimataifa mjini Vienna amesema jitihada za Marekani za kutaka kuionesha dunia kuwa ingali mshiriki wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hazina misingi ya kisheria.

  • Waandamanaji wenye silaha wamiminika mitaani Marekani, wapinga zuio la corona

    Waandamanaji wenye silaha wamiminika mitaani Marekani, wapinga zuio la corona

    May 02, 2020 22:03

    Waandamanaji ambao wanapinga sheria za kubakia nyumbani ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona wamejitokeza mitaani nchini Marekani wakiwa wamejizatiti kwa silaha tayari kukabiliana na polisi.

  • Russia yakosoa msimamo wa kinafiki wa Marekani kuhusu JCPOA na azimio 2231

    Russia yakosoa msimamo wa kinafiki wa Marekani kuhusu JCPOA na azimio 2231

    May 02, 2020 22:01

    Licha ya kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mwezi Mei 2018, Marekani imekuwa na msimamo wa kinafiki na kimaslahi kuhusiana na mapatano hayo pamoja na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Marekani na Korea Kusini zaendelea kuvutana kuhusu ongezeko la gharama za askari wa Kimarekani

    Marekani na Korea Kusini zaendelea kuvutana kuhusu ongezeko la gharama za askari wa Kimarekani

    May 01, 2020 21:04

    Ofisi ya Rais wa Korea Kusini imesisitiza kuwa hadi sasa hakujafikiwa mapatano yoyote kuhusiana na ongezeko la fedha za kudhamini kuendelea kuwepo askari wa Kimarekani nchini humo.

  • Kushindwa kupitishwa azimio la kusitisha vita dunia nzima kutokana na tofauti za Marekani na China

    Kushindwa kupitishwa azimio la kusitisha vita dunia nzima kutokana na tofauti za Marekani na China

    May 01, 2020 21:03

    Kuenea virusi vya corona dunia nzima na maradhi ya COVID-19 yanayosababishwa na virusi hivyo na hali maalumu ya dharura inayotawala ulimwenguni hivi sasa kumeongeza maradufu umuhimu wa kuwepo mshikamano mkubwa zaidi kimataifa; na kwa sababu hiyo Umoja wa Mataifa umetaka kukomeshwa mapigano yanayoendelea katika maeneo tofauti ya dunia.

  • Makubaliano ya JCPOA; kuanzia kushindwa “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa” hadi “ndoto za alinacha” za Mike Pompeo

    Makubaliano ya JCPOA; kuanzia kushindwa “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa” hadi “ndoto za alinacha” za Mike Pompeo

    Apr 30, 2020 20:09

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, juhudi za Marekani za kutaka kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran zinakwenda kinyume na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS