-
Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 30, 2020 07:35Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.
-
Iran: Marekani haina hoja ya kisheria ya kuwa mshirika wa JCPOA
Apr 30, 2020 03:33Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani haina hoja ya kisheria ya kutaka kuwa mshirika wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Maafa ya kibinadamu Yemen yafika kileleni kutokana na sera za Marekani
Apr 30, 2020 02:51Baada ya Marekani kukata mchango wake kwa Shirika la Afya Duniani (WHO), shirika hilo limetangaza kukata asilimia 80 ya misaada yake kwa watu wa Yemen.
-
Rais Erdoğan asisitiza kuwa Uturuki ni rafiki wa kuaminika wa Marekani
Apr 29, 2020 22:08Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amemuandikia barua Rais Donald Trump wa Marekani akikariri kuwa Ankara ni mshirika wa kuaminika wa Washington, huku akisisitiza juu ya mshikamano wa pande mbili.
-
Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'
Apr 29, 2020 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu Wamarekani na kuwaambia wanapaswa kutambua kuwa Ghuba ya Uajemi ni njia muhimu ya baharini na eneo la kistratajia linalolindwa na litakaloendelea kulindwa kwa nguvu zote na taifa zima la Iran.
-
Kukaririwa madai yasiyo na msingi ya Marekani kuhusu uhuru wa kuabudu nchini Iran
Apr 29, 2020 02:19Kamisheni ya Kimataifa ya Uhuru wa Kuabudu ya Marekani imetoa ripoti yake ya kila mwaka ikiituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba inakiuka uhuru wa kuabudu.
-
China yarudisha mapigo, yasema Marekani inasema uongo ili kuficha utendaji wake mbaya kuhusiana na corona
Apr 28, 2020 20:19China imeituhumu Marekani kwamba inamtafuta "mbuzi wa kafara" wa kumtwisha lamawa za kufeli kwa serikali ya Washington na utendaji wake mbaya katika kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.
-
Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo
Apr 28, 2020 02:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi imevuruga usalama na uthabiti katika eneo hili.
-
Marekani yakiri: Ni kweli tumeua raia katika shambulizi la anga Somalia
Apr 28, 2020 02:49Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika AFRICOM imekiri kuwa raia wawili wa Somalia waliuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika hujuma yake ya anga mapema mwaka jana.
-
Biden ambwaga Trump katika utafiti mpya wa maoni Marekani
Apr 28, 2020 02:45Joe Biden, mgombea wa chama cha Democrat katika uchaguzi wa rais nchini Marekani amembwaga Rais Donald Trump katika uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini humo.