Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iraq katika kuihami na kuitetea Al-Hashdu-Sha'abi sambamba na kukabiliana na kupambana na Marekani

    Iraq katika kuihami na kuitetea Al-Hashdu-Sha'abi sambamba na kukabiliana na kupambana na Marekani

    Mar 16, 2020 22:10

    Katika muda wa siku chache zilizopita ndege za kivita za Marekani zilishambulia mara kadhaa kwa makombora ngome za Al-Hashdu-Sha'abi na Muqawama wa Iraq; mashambulio ambayo yamekosolewa vikali na Wairaqi wengi.

  • Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Lebanon na kuendelea mwenendo ulio dhidi ya Hizbullah

    Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Lebanon na kuendelea mwenendo ulio dhidi ya Hizbullah

    Mar 15, 2020 05:56

    Katika kikao cha Ijumaa iliyopita pamoja na Hassan Diab, Waziri Mkuu wa Lebanon, Dorothy Shea, balozi mpya wa Marekani nchini Lebanon sambamba na kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu, alisema kuwa mazingira ya msaada wa Washington kwa ajili ya kuushinda mzozo wa kiuchumi wa taifa hilo, unategemea kutengana serikali ya Beirut na Harakati ya Muqawama ya Hizbullah.

  • Ethiopia: Hatutaburuzwa na Marekani kusaini makubaliano ya bwawa la Nahdha

    Ethiopia: Hatutaburuzwa na Marekani kusaini makubaliano ya bwawa la Nahdha

    Mar 13, 2020 23:02

    Ethiopia imesema haitakubali kushinikizwa na Marekani kutia saini makubaliano ya mpango wa Washington kuhusu bwawa la al-Nahdha.

  • Gavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona

    Gavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona

    Mar 13, 2020 13:20

    Gavana wa jimbo la Ohio nchini Marekani amesema kuwa ripoti za Idara ya Afya zinaonyesha kuwa, karibu asilimia moja ya wakazi wa jimbo hilo wameambukizwa virusi vya COVID-19 (Corona).

  • Kongresi: Wamarekani milioni 150 huenda wakaambukizwa Corona

    Kongresi: Wamarekani milioni 150 huenda wakaambukizwa Corona

    Mar 13, 2020 10:27

    Bunge la Marekani (Kongresi) limesema inakisiwa kuwa Wamarekani kati ya milioni 70 hadi 150 watakumbwa na virusi vya Corona ambavyo vimeua maelfu ya watu katika maeneo mbalimbali duniani.

  • Iraq yalaani mashambulizi ya Marekani, yasema ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala

    Iraq yalaani mashambulizi ya Marekani, yasema ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala

    Mar 13, 2020 10:21

    Jeshi la Iraq na Ofisi ya Rais wa nchi hiyo zimekosoa vikali mashambulizi mapya ya Marekani nchini humo yaliyoua wanajeshi, askari polisi na raia.

  • Iran yaionya Marekani kwa kutoa madai 'hatari' dhidi yake

    Iran yaionya Marekani kwa kutoa madai 'hatari' dhidi yake

    Mar 13, 2020 09:22

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inapaswa kuangali upya uwepo wa vikosi vyake vamizi katika eneo la Asia Magharibi badala ya kuibua tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya mataifa mengine.

  • Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq

    Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq

    Mar 13, 2020 07:20

    Marekani inaendelea kupuuza amri ya Bunge la iraq ya kuondoa wanajeshi wake nchini humo, bali inaendelea kufanya mashambulizi ya kivamizi katika maeneo mbalimbali ya Iraq ikiwa ni kuendelea kukanyaga waziwazi haki ya kujitawala taifa hilo la Kiarabu.

  • Ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Marekani; madai ya mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu ulimwenguni

    Ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Marekani; madai ya mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu ulimwenguni

    Mar 13, 2020 02:33

    Ripoti ya mwaka 2019 ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kuhusiana na haki za binadamu ilitolewa Jumatano iliyopita ya tarehe 11 Machi.

  • Marekani yatangaza hali ya hatari mjini Washington kutokana na wimbi la virusi vya corona

    Marekani yatangaza hali ya hatari mjini Washington kutokana na wimbi la virusi vya corona

    Mar 12, 2020 04:43

    Meya wa Washington DC, Muriel Bowser huko Marekani usiku wa kuamkia leo ametangaza hali ya hatari katika mji huo baada ya kuenea wimbi la maambukizi ya virusi hatari vya corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS