Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Shambulio la anga la Marekani laua watu 6 nchini Somalia

    Shambulio la anga la Marekani laua watu 6 nchini Somalia

    Mar 12, 2020 04:28

    Watu sita wasio na hatia wameuawa nchini Somalia baada ya basi lao kushambuliwa na ndege zisizo na rubani (drone) za Marekani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iliyoathiriwa vibaya na vita.

  • CDC: Homa ya mafua imeua watu 20,000 wakiwemo watoto 136 nchini Marekani

    CDC: Homa ya mafua imeua watu 20,000 wakiwemo watoto 136 nchini Marekani

    Mar 10, 2020 04:50

    Huku virusi vya Corona vikiendelea kusambaa kwa kasi nchini Marekani, Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini humo (CDC) vimesema Wamarekani 20,000 wakiwemo watoto wadogo 136 wameaga dunia kufikia sasa msimu huu kutokana na homa ya mafua.

  • Saudia yaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mnunuzi mkuu wa silaha duniani

    Saudia yaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mnunuzi mkuu wa silaha duniani

    Mar 10, 2020 04:45

    Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

  • Taleban: Madai kwamba tunakusudia kuvunja makubaliano si ya kweli

    Taleban: Madai kwamba tunakusudia kuvunja makubaliano si ya kweli

    Mar 08, 2020 08:24

    Msemaji wa Ofisi ya Kisiasa ya Kundi la Taleban ametupilia mbali ripoti za vyombo vya habari kwamba kundi hilo linakusudia kutofungamana na makubaliano yake na Marekani.

  • Kuendelea kuenea virusi vya Corona nchini Marekani na upuuzaji wa Trump

    Kuendelea kuenea virusi vya Corona nchini Marekani na upuuzaji wa Trump

    Mar 08, 2020 04:57

    Licha ya kuenea kwa kasi virusi vya Corona nchini Marekani, lakini Rais Donald Trump wa nchi hiyo amedai kuwa hana wasiwasi wowote kuhusiana na suala hilo.

  • Ethiopia: Ubovu wa ndege ya Boeing ya US ndiyo sababu ya ajali ya 2019

    Ethiopia: Ubovu wa ndege ya Boeing ya US ndiyo sababu ya ajali ya 2019

    Mar 07, 2020 23:14

    Rasimu ya ripoti ya muda ya wachunguzi wa Ethiopia imesema ajali mbaya ya ndege ya Boeing Max 737 iliyotokea tarehe 10 mwezi Machi mwaka jana 2019 na kuua watu 157 ilisababishwa na na matatizo ya kiufundi na ubovu wa ndege hiyo ya Kimarekani.

  • Afisa wa zamani wa CIA: Virusi vya Corona vilizalishwa kwenye maabara

    Afisa wa zamani wa CIA: Virusi vya Corona vilizalishwa kwenye maabara

    Mar 07, 2020 23:14

    Afisa wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua maelfu ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara na wala havikuanza tu peke yake.

  • Amir-Abdollahian: Marekani inazuia vifaa vya kukabiliana na Corona kuingizwa Iran

    Amir-Abdollahian: Marekani inazuia vifaa vya kukabiliana na Corona kuingizwa Iran

    Mar 07, 2020 08:58

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Wizara ya Fedha ya Marekani inazuia vifaa vya tiba vilivyonunuliwa na Iran kuletwa hapa nchini kwa ajili ya kutibu wagonjwa waliopatwa na virusi vya Corona.

  • ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    Mar 06, 2020 08:03

    Oktoba mwaka 2001, kwa kisingizio cha hujuma za Sepemba 11 mwaka huo, Marekani ilianzisha uvamizi dhidi ya Afghanistan. Tokea wakati huo hadi sasa Marekani imeendelea kuikalia kwa mabavu Afghanistan na askari wake wametekeleza jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kuua raia wasio na hatia.

  • Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

    Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

    Mar 06, 2020 04:53

    Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS