Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ujumbe wa jumuiya za Mayahudi watembelea Saudia kwa siri na kufanya mazungumzo katika kasri la Mfalme Salman

    Ujumbe wa jumuiya za Mayahudi watembelea Saudia kwa siri na kufanya mazungumzo katika kasri la Mfalme Salman

    Feb 15, 2020 23:20

    Kanali ya Kwanza ya televisheni ya Israel imetangaza kuwa ujumbe uliojumuisha viongozi wa jumuiya za Kiyahudi za Marekani ulitembelea Saudi Arabia siku za hivi karibuni na kupokewa katika kasri la Mfalme Salman bin Abdul Azizi Aal Saud mjini Riyadh.

  • Rais wa Ufaransa amjibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani akisema: Magharibi 'inadhoofika'

    Rais wa Ufaransa amjibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani akisema: Magharibi 'inadhoofika'

    Feb 15, 2020 10:54

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amejibu madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani aliyotoa katika Mkutano wa Usalama wa Munich kwa kusema: Magharibi inadhoofika na kuporomoka.

  • Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani

    Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani

    Feb 15, 2020 04:20

    Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump Marekani imefanya jitihada nyingi za kutaka kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolás Maduro na badala yake kuiingiza madarakani serikali kibaraka itakayoongozwa na Juan Guaidó.

  • Mpango wa Muamala wa Karne, utawala wa Saudia mfuasi bubu na kipofu wa Marekani

    Mpango wa Muamala wa Karne, utawala wa Saudia mfuasi bubu na kipofu wa Marekani

    Feb 15, 2020 00:42

    Msimamo uliotangazwa na maafisa wawili wa ngazi za juu wa utawala wa Saudi Arabia kuhusu Iran na mpango wa Kimarekani uliopewa jina la “Muamala wa Karne” umeonesha tena kwamba, baadhi ya tawala za Kiarabu zinashirikiana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika utekelezaji wa mpango huo khabithi na katika kufanya mabadiliko kwenye eneo la magharibi mwa Asia.

  • "Marekani ilivuka mistari yote miekundu kwa kumuua shahidi Jen. Soleimani"

    Feb 13, 2020 23:54

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwa kumuua kigaidi shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH), Marekani ilivuka mistari yote miekundu na kwamba mauaji hayo yamegeuza mahesabu yote katika eneo la Asia Magharibi.

  • Afisa mwandamizi wa serikali ya Bush: Kisasi ilicholipiza Iran kwa mauaji ya Soleimani kimempa somo Trump

    Afisa mwandamizi wa serikali ya Bush: Kisasi ilicholipiza Iran kwa mauaji ya Soleimani kimempa somo Trump

    Feb 13, 2020 04:12

    Kanali mstaafu Lawrence Wilkerson, aliyekuwa pia mkuu wa ofisi ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Colin Powell amesema, jibu ililotoa Iran kwa mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani limempa somo na funzo rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mashambulio yoyote atakayofikiria kuyafanya siku za usoni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Rais Abbas kwa Baraza la Usalama: Muamala wa Karne unakiuka maazimio ya UN

    Rais Abbas kwa Baraza la Usalama: Muamala wa Karne unakiuka maazimio ya UN

    Feb 12, 2020 04:10

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa, mbali na mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani uliopewa jina la Muamala wa Karne kukanyaga maazimio ya umoja huo, pia unakiuka mamlaka na uhuru wa kujitawala Palestina.

  • Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maadui

    Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maadui

    Feb 11, 2020 08:48

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kustawi na kuimarika licha ya uhasama na njama za maadui hususan Marekani, na kwamba 'Mapinduzi ya Kiislamu' lilikuwa chaguo la taifa zima la Iran.

  • Mauaji ya raia yanayofanywa na Marekani ni dhihirisho la jinai za kivita

    Mauaji ya raia yanayofanywa na Marekani ni dhihirisho la jinai za kivita

    Feb 11, 2020 03:50

    Kamisheni ya Haki za Binaadamu nchini Afghanistan imeyataja mauaji ya raia yanayofanywa katika mashambulizi ya anga ya Marekani ndani ya nchi hiyo kuwa ni dhihirisho la jinai za kivita.

  • Uongo wa Trump alioutamka katika hotuba ya kila mwaka waanikwa

    Uongo wa Trump alioutamka katika hotuba ya kila mwaka waanikwa

    Feb 09, 2020 23:38

    Mtandao mmoja wa habari wa Marekani umeweka wazi idadi ya uongo uliosemwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika hotuba yake ya kila mwaka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS