-
Serikali ya Trump yajifanya kuwa msimamizi wa Uingereza; indhari juu ya shirika la Huawei
Feb 09, 2020 23:37Baada ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya hapo tarehe 31 Januari mwaka huu, Boris Johnson, Waziri Mkuu muhafidhina wa Uingereza amekuwa na matarajio makubwa ya kuanzisha uhusiano mkubwa na Marekani.
-
Askari aliyekuwa akiongoza drone za Marekani: Askari wa jeshi la Marekani ni wakatili sana kuliko hata Wanazi
Feb 09, 2020 12:26Askari mmoja ambaye alikuwa kitengo cha kuongoza ndege zisizo na rubani za Marekani (drone) amekiri kuhusu jinai za kutisha zinazofanywa na jeshi la nchi hiyo katika maeneo tofauti ya dunia.
-
Wajumbe zaidi ya 100 wa Baraza la Wawakilishi Marekani waukataa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Feb 08, 2020 09:27Wajumbe 107 wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua rais wa nchi hiyo Donald Trump wakiupinga vikali mpango wake alioupa jina la "Muamala wa Karne".
-
Ombi la Rais wa Ufaransa la kuangamizwa silaha za nyuklia
Feb 08, 2020 04:02Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, jana Ijumaa alitangaza uamuzi wa nchi yake wa kupunguza idadi ya silaha zake za nyuklia hadi chini ya vichwa 300 vya nyuklia.
-
Kufuatiliwa kisheria hatua za kigaidi za Donald Trump dhidi ya Iran
Feb 07, 2020 23:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran hivi sasa iko katika mchakato wa kufuatilia kisheria katika taasisi za kimataifa; hatua tatu za kigaidi zilizochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran.
-
Raisi: Marekani ikituvamia tutavitimua vikosi vyake Ghuba ya Uajemi
Feb 07, 2020 23:29Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran ameonya dhidi ya tishio lolote la adui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kubainisha kuwa, iwapo Washington itathubutu kuchukua hatua yoyote iliyo dhidi ya Iran basi taifa hili litawatimua hadi chini ya Ghuba ya Uajemi wanajeshi wa Marekani.
-
Kumalizika mchakato wa kuuzuliwa Trump, kuendelea mgawanyiko wa kisiasa Marekani
Feb 06, 2020 21:41Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya vuta nikuvute nchini Marekani, kadhia ya kuuzuliwa rais wa nchi hiyo imemalizika baada ya Baraza la Seneti linalohodhiwa na Warepublican kumtoa hatiani Donald Trump na kufumbia macho utumiaji wake vibaya madaraka.
-
Pentagon yatahadharisha kuhusu ongezeko la kujiua askari wa kikosi cha anga Marekani
Feb 06, 2020 21:39Wizara ya Ulinzi nchini Marekani (Pentagon) imetahadharisha juu ya ongezeko la kujiua maafisa wa jeshi la anga la nchi hiyo.
-
Rais wa Kenya aonya kuhusu ushindani wa Marekani na China barani Afrika
Feb 06, 2020 08:46Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametahadharisha kuhusiana na ushindani wa Marekani na China barani Afrika na kubainisha kwamba, madola ya kigeni yanazidisha mgawanyiko na mivutano katika bara hilo.
-
Mkutano wa siri wa Marekani, UAE na Israel kujadili njama dhidi ya Iran
Feb 05, 2020 04:19Kumefanyika mkutano wa siri kati ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kujadili njama dhidi ya Iran.