-
Araghchi asisitizia fursa ya kufikia mwafaka na US, kulindwa mamlaka ya nchi kwa gharama yoyote
Feb 25, 2026 03:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Iran na Marekani zina "fursa ya kihistoria" iliyopo mbele ya macho ya kufikia "makubaliano ambayo hayajawahi kushuhudiwa," huku akionya kwamba Jamhuri ya Kiislamu italinda uhuru na mamlaka yake ya kujitawala kwa gharama yoyote endapo kutakuwa na uvamizi mpya wa kijeshi wa Marekani.
-
Iraq yamueleza mjumbe wa Marekani: Uundaji wa serikali ni 'suala letu la ndani'
Feb 24, 2026 08:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein amesema, uundaji wa serikali mpya ya nchi hiyo ni "suala la ndani," ukiwa ni mjibizo uliotolewa wiki chache baada ya Marekani kutishia kufuta msaada na uungaji mkono wake kwa nchi hiyo ya Asia Magharibi.
-
Kwa nini Somaliland imeipa ofa Marekani ya kuanzisha kituo cha kijeshi katika ardhi yake?
Feb 24, 2026 05:09Somaliland imeipa Marekani ofa na fursa ya kuanzisha kambi ya kijeshi katika ardhi yake. Vyanzo vya habari vimeripoti kwamba, maafisa wa Somaliland wameipa Washington ofa ya kutumia rasilimali za madini za eneo hilo na kuanzisha kambi ya kijeshi.
-
Mjibizo hasi wa maoni ya umma wa Marekani kwa sera za kupenda vita za Trump
Feb 22, 2026 03:00Maoni ya umma nchini Marekani katika mwaka huu wa 2026, yanapinga vikali chokochoko yoyote mpya ya kijeshi dhidi ya Iran. Fikra za walio wengi nchini Marekani zina mtazamo hasi kuhusiana na sera za kupenda vita za Rais mtata Donald Trump.
-
Kwa nini Amnesty International imelaani operesheni za kijeshi za Marekani huko Karibiani na Pasifiki?
Feb 21, 2026 22:59Shirika la Amnest International limelaani mashambulizi ya Marekani katika eneo la Karibiani na huko Pasifiki.
-
Iran yaonya: Hatutaanzisha vita, lakini tutajibu vikali uvamizi wowote
Feb 20, 2026 06:18Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu haitaanzisha vita, lakini itatoa jibu zito kwa kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya nchi hii.
-
Hamas yalaani mkutano wa 'Bodi ya Amani' ya Trump
Feb 20, 2026 06:18Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali kufanyika mkutano wa kile kinachoitwa 'Bodi ya Amani ya Gaza' huko nchini Marekani.
-
Uzandiki na undumakuwili wa wazi wa Marekani katika sera yake ya kurutubisha urani
Feb 19, 2026 07:16Waziri wa Nishati wa Marekani amesema, nchi hiyo itaanza tena kurutubisha madini ya urani
-
Iran, US zakamilisha duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana ya nyuklia, Geneva
Feb 17, 2026 10:09Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani imemalizika mjini Geneva, Uswisi.
-
Kallas: Estonia inaipiku Marekani katika uhuru wa kujieleza
Feb 16, 2026 06:41Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas amepuuzilia mbali ukosoaji wa Washington kuhusu mbinyo wa kutoa maoni katika nchi wanachama wa umoja huo, akisisitiza kwamba nchi yake ya asili ya Estonia ina uhuru mkubwa zaidi wa kujieleza kuliko Marekani.