Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mhimili wa Muqawama; ushindi katika medani ya vita dhidi ya maadui Asia Magharibi

    Mhimili wa Muqawama; ushindi katika medani ya vita dhidi ya maadui Asia Magharibi

    Oct 29, 2019 08:14

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mhimili wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi ndiyo sababu ya kushindwa maadui na hivyo kuwafanya waanze kufanya njama dhidi ya harakati ya muqawama na eneo hili la Asia Magharibi.

  • Mshauri wa Spika wa Bunge: Kinara wa genge la kigaidi la DAESH alikuwa kikaragosi cha Marekani

    Mshauri wa Spika wa Bunge: Kinara wa genge la kigaidi la DAESH alikuwa kikaragosi cha Marekani

    Oct 28, 2019 04:05

    Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya kimataifa wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema, kinara wa genge la kigaidi la DAESH (ISIS) Abubakar al-Baghdadi ni kikaragosi kilichotengezwa na Marekani ambacho muda wa matumizi yake ulikuwa umeshamalizika.

  • Kuangamizwa al Baghdadi na njama za Marekani za kujifanya inapambana na Daesh

    Kuangamizwa al Baghdadi na njama za Marekani za kujifanya inapambana na Daesh

    Oct 28, 2019 02:29

    Marekani pamoja na waitifaki wake wa Kiarabu na Kimagharibi ndio waliolianzisha, kulitia nguvu na kuliunga mkono kwa kila namna na hali na mali; genge la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa shabaha ya kuiangusha serikali halali ya Syria.

  • Zarif amlaumu Trump kwa uongo wake mpya katika kushadidisha ugaidi wa kiuchumi dhidi ya wananchi wa Iran

    Zarif amlaumu Trump kwa uongo wake mpya katika kushadidisha ugaidi wa kiuchumi dhidi ya wananchi wa Iran

    Oct 27, 2019 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemkosoa vikali rais wa Marekani, Donald Trump kwa uongo wake mpya katika kushadidisha ugaidi wa kiuchumi dhidi ya wananchi wa kawaida wa Iran.

  • TV na redio za fitna za Saudia na Marekani zapigwa marufuku Iraq

    TV na redio za fitna za Saudia na Marekani zapigwa marufuku Iraq

    Oct 27, 2019 23:05

    Serikali ya Iraq imezipiga marufuku televisheni tatu na redio moja za Marekani na Saudi Arabia kwa kueneza fitna na machafuko nchini Iraq.

  • Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa Daesh auawa

    Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa Daesh auawa

    Oct 27, 2019 04:08

    Afisa mmoja wa Pentagon nchini Marekani amesema kuwa Abubakr al-Baghdadi, kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ameuawa katika operesheni ya siri iliyotekelezwa kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Picha za satalaiti zathibitisha; Marekani inafanya magendo ya mafuta ya Syria

    Picha za satalaiti zathibitisha; Marekani inafanya magendo ya mafuta ya Syria

    Oct 26, 2019 08:53

    Russia imesema picha za satalaiti zimetoa ithibati kuwa Marekani inafanya magendo ya mafuta ya Syria chini ya ulinzi wa vikosi vyake vya usalama.

  • Nakisi ya bajeti ya Marekani yakaribia dola trilioni moja

    Nakisi ya bajeti ya Marekani yakaribia dola trilioni moja

    Oct 26, 2019 08:32

    Serikali ya Marekani imemaliza mwaka huu wa kifedha wa 2019 kwa nakisi ya bajeti inayokaribia dola trilioni moja, ikiwa ni kiwango kikubwa zaidi cha nakisi kuwahi kushuhudiwa nchini humo ndani ya miaka saba iliyopita.

  • Raia 3 wa Somalia 'watoweka' kufuatia shambulizi la anga la Marekani

    Raia 3 wa Somalia 'watoweka' kufuatia shambulizi la anga la Marekani

    Oct 26, 2019 08:27

    Kwa akali raia watatu wanahofiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na ndege isiyo na rubani 'drone' ya Marekani katika eneo la Puntland, kaskazini mashariki mwa Somalia.

  • Mwanafunzi wa Kiislamu Marekani aondolewa mashindanoni kwa kuvaa hijabu

    Mwanafunzi wa Kiislamu Marekani aondolewa mashindanoni kwa kuvaa hijabu

    Oct 26, 2019 08:24

    Mwanafunzi wa kike wa shule moja katika jimbo la Ohio nchini Marekani ameondolewa kwenye mashindano ya mbio za nyika kwa kuvaa vazi la stara la hijabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS