-
Trump aendelea kutoa misimamo ya nyuso mbili kuhusu Wakurdi wa Syria
Oct 25, 2019 03:40Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena ametia ulimi puani na kubadilisha msimamo wake wa huko nyuma kuhusu Wakurdi wa Syria. Katika ujumbe wake mpya wa Twitter sasa Trump amewataka Wakurdi hao waende wakajikusanye kwenye maeneo yenye utajiri wa mafuta.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Saudia na madai ya kuulinda utawala wa Aal Saud
Oct 23, 2019 12:37Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akidai kuwa, anawahami na kuwalinda waitifaki wake wa Mashariki ya Kati, na katika uwanja huo Saudi Arabia ambayo ni mshirika mkuu wa Washington ina nafasi maalumu katika siasa za kikanda za White House.
-
Takwimu: Watu wanaojiua wazidi kuongezeka nchini Marekani
Oct 23, 2019 09:44Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa, vitendo vya kujiua vimeongezeka mno nchini humo hususan baina ya vijana.
-
Makeke ya Trump mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 22, 2019 08:20Donald Trump Rais wa Marekani mwenye kubwabwaja sana tangu aingie ikulu ya White House amechukua mkondo wa sera za chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na utendaji wake umejikita katika mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Tehran ili kwa njia hiyo aweze kulifanya taifa hili lisalimu amri na kukubali matakwa ya Washington.
-
Jeshi la Iraq: Askari wa Marekani hawana haki ya kuwepo ndani ya nchi hii
Oct 22, 2019 08:16Kamandi ya jeshi la Iraq sambamba na kutoa taarifa imesema kuwa, askari wa Marekani ambao wametokea Syria, wanaweza tu kuitumia Iraq kama njia ya kuvuka na kwamba hawana haki ya kuweka kambi nchini humo.
-
Marekani yasema iko tayari kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Uturuki
Oct 22, 2019 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Rais Donald Trump yuko tayari kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Uturuki iwapo 'italazimu'.
-
Wakati nchi za Ulaya zinapochoshwa na uadui wa Trump na kuamua kujibu vita vya kiuchumi
Oct 20, 2019 02:56Viongozi wa Ulaya wamekasirishwa mno na vita vipya vya kiuchumi vilivyoanzishwa na rais wa Marekani, baada ya Donald Trump kutangaza ushuru mpya kwa bidhaa za nchi za Ulaya na hivyo kuingia katika vita vikubwa mno vya ushuru na waitifaki hao wa miaka mingi wa Marekani.
-
Russia: Ulaya pia imechoshwa na siasa za ubeberu za Marekani
Oct 19, 2019 12:03Waziri Mkuu wa Russia, Dmitry Medvedev amesema kuwa, nchi za Ulaya pia zimechochwa na siasa za ubeberu za Marekani.
-
CNN: Silaha za Marekani zinaishia mikononi mwa magaidi Yemen
Oct 19, 2019 09:02Uchunguzi uliofanywa na kanali ya televisheni ya CNN umebaini kuwa, silaha za Marekani zilizonunuliwa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika mashambulizi yake dhidi ya Yemen ziko mikononi mwa magenge yenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda na makundi mengine ya Kisalafi yenye misimamo ya kufurutu ada nchini Yemen.
-
Marekani: Mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran yataendelea na yatakuwa makali zaidi
Oct 19, 2019 00:11Brian Hook, mkuu wa "Kundi la Uchukuaji Hatua Dhidi ya Iran" katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema, kampeni ya utoaji mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu itaendelea, na mashinikizo hayo yatazidi kuwa makali.