Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Licha ya kuafiki kusitisha mashambulio, ndege za kivita za Uturuki zaendelea kuua raia Syria

    Licha ya kuafiki kusitisha mashambulio, ndege za kivita za Uturuki zaendelea kuua raia Syria

    Oct 18, 2019 11:51

    Mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Uturuki yameua raia wasiopungua watano huku mapigano ya hapa na pale yakiendelea kati ya majeshi ya nchi hiyo na wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mashariki mwa Syria licha ya maafikiano ya kusitisha hujuma yaliyofikiwa kati ya Uturuki na Marekani hapo jana.

  • Safari ya maafisa wa Marekani nchini Uturuki na kusalimu amri Ankara mbele ya matakwa ya Washington

    Safari ya maafisa wa Marekani nchini Uturuki na kusalimu amri Ankara mbele ya matakwa ya Washington

    Oct 18, 2019 10:55

    Mashambulizi ya jeshi la Uturuki huko kaskazini mwa Syria ambayo yamefanyika kwa ruhusa na baraka za Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuyaondoa majeshi ya nchi hiyo katika eneo hilo, yamekabiliwa na upinzani mkali huko Washington kiasi kwamba, hata wawakilishi wa Kongresi wamepasisha azimio wakilaani hatua hiyo ya Trump.

  • Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria

    Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria

    Oct 17, 2019 23:53

    Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuondoa wanajeshi wa Marekani kaskazini mwa Syria, jambo ambalo limewezesha Uturuki kushambulia eneo hilo, imekosolewa ndani ya Marekani.

  • Iran: Kuzinduliwa ndege mpya ya kivita ya Yasin, ishara ya kushindwa vikwazo

    Iran: Kuzinduliwa ndege mpya ya kivita ya Yasin, ishara ya kushindwa vikwazo

    Oct 17, 2019 10:03

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Iran kuzindua ndege mpya ya kivita iliyotengenezwa na wataalamu wa kijeshi wa hapa nchini ni ishara tosha kuwa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani havijakuwa na athari zozote kwa taifa hili.

  • Rais Tayyip Erdoğan: Uturuki haiogopi vikwazo vya Marekani

    Rais Tayyip Erdoğan: Uturuki haiogopi vikwazo vya Marekani

    Oct 17, 2019 09:52

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amedai kwamba lengo la operesheni za nchi yake kaskazini mwa Syria lipo wazi na kwamba serikali ya Ankara haiogopi hata kidogo vikwazo vya Marekani.

  • Hali mbaya kwa wanajeshi wa Marekani Syria, Washington yalazimika kushambulia kambi zake yenyewe

    Hali mbaya kwa wanajeshi wa Marekani Syria, Washington yalazimika kushambulia kambi zake yenyewe

    Oct 17, 2019 04:33

    Baada ya wanajeshi vamizi wa Marekani kulazimika kuondoka kaskazini mwa Syria, jeshi hilo vamizi limeamua kushambulia na kuteketeza kila kitu katika kambi zake ambazo linalazimika kuondoka kaskazini mwa Syria.

  • China yaitahadharisha Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya Hong Kong

    China yaitahadharisha Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya Hong Kong

    Oct 16, 2019 08:32

    Serikali ya China imeendelea kulaani vikali uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya mji wa Hong Kong, kwa kupasisha muswada uliopewa jina la 'Haki za binaadamu na demokrasia.'

  • Korea Kaskazini: Hatutosalimu amri mbele ya Marekani

    Korea Kaskazini: Hatutosalimu amri mbele ya Marekani

    Oct 16, 2019 08:21

    Kiongozi wa Korea Kaskazini amekemea uhasama wa vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya nchi yake na kusisitiza kwamba, kamwe serikali ya Pyongyang haitosalimu amri mbele ya Washington.

  • Athari za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran zafika katika fukwe za Ulaya

    Athari za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran zafika katika fukwe za Ulaya

    Oct 16, 2019 01:04

    Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran vimeanza kuziathiri nchi za Ulaya kwa njia isiyo ya moja kwa moja.

  • Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo

    Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo

    Oct 15, 2019 23:26

    Licha ya kwamba awali rais wa Marekani alibariki uvamizi wa kijeshi wa Uturuki huko kaskazini mwa Syria lakini hivi sasa amegeuka kikamilifu na kutoa amri ya kuwekewa vikwazo Ankara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS